ukristo

  1. M

    Kwanini Wazee wetu wa zamani walioabudu mila za Kiafrika waliishi miaka mimi kuliko wa sasa wa Ukristo na Uislam?

    Habarini wadau, Hii kitu inanisumbua sana kichwani naombeni mawazo yenu huenda nikapata jibu lake. Karibuni!
  2. F

    Ukristo unapaswa utunge sheria ya mirathi ya kikristo kuondoa migogoro kama uislam ulivyo na sheria yao

    Naona ni wakati sasa wakristo tuamke na kuomba dini yetu itunge sheria yake ya mirathi. Tuache kutegemea sheria ya kiserikali kuamua mirathi ya kila mkristo. Tazama matajiri wa kiislam wakifariki mifarakano hakuna. Sababu ni Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za...
  3. GENTAMYCINE

    Hongera Askofu Mstaafu Mkude wa Jimbo Kuu la Morogoro Kanisa la Mt. Patrick ( Patrice ) kwa Ukristo huu wa Kizalendo wa Leo

    Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga. Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada. Ni kwamba mara...
  4. sky soldier

    Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

    Nchi nyingi za Ulaya zinapokea Waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya Waislamu tu (Wakristo hawaruhusiwi). Waislamu hujazana kwa hizi mbinu: - Kuomba kuishi Ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwa sababu Nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika Ulaya wanaita familia...
  5. sky soldier

    Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
  6. sky soldier

    Ukristo unasema mwanamke anakuheshimu kabla ya ndoa ila ukishamuoa hufungua makucha yake. Dini (sio maandiko) imekataza kuongeza mke

    Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa. Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani...
  7. Lycaon pictus

    Uislamu na Ukristo ndiyo vimeleta ubaguzi wa kijinsia, Afrika haikuwabagua wanawake

    Katika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao. Baada ya...
  8. econonist

    Watanzania tutofautishe Ukristo na Cults

    Kwa Sasa kumezuka madhehebu mengi ndani ya dini ya ukristo. Kuna madhehebu baadhi hayafuati misingi ya kikristo bali Imani potofu ambayo ni kinyume na ukristo lakini tunalazimisha ni ya kikristo. Madhehebu yaliyomo kwenye ukristo lakini yapo tofauti na imani ya kikristo tunayaita ni cult...
  9. Erythrocyte

    MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ukristo unahubiri upendo, je huu ni upendo wa aina gani? Au huu ni Ukristo wa aina gani?

    Mafundisho ya dini ya Kikristo yamejikita zaidi kwenye upendo, kwani ndio amri iliyo kuu kama tulivyo agizwa na Bwana wetu Yesu Kristo. Miongoni mwa mistari inayo onyesha kiwango cha hali ya juu cha upendo ni ule unaosema tusamehe saba mara sabini. Pia upo ule mstari unaosema ukipigwa shavu la...
  11. Bila bila

    Giza na Nuru havitangamani

    Nianze kwa kukiri, naamini katika Ukristo na hivyo mifano yangu itaegemea kwenye kitabu chao Biblia. Katika Waraka wa pili wa Paulo kwa Wakorintho 6:14, Mtume Paulo anawaasa Waamini wa Kanisa la Korintho kwamba hakuna Ushirika kati ya Giza na Nuru. Akimaanisha huwezi kuwa mtu wa haki kama...
  12. IslamTZ

    Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  13. M

    Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  14. Rizzy2020

    Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania

    Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
  15. J

    Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  16. Da Vinci XV

    Alama ya jicho moja: Je, ni ishara katika vikundi vya siri, ishara katika Uungu (Ukristo), ishara ya Mungu wa Misri au uwakilisho wa mpinga Kristo??

    ALL SEEING EYE, EYE OF PROVIDENCE - 1 Wasalaam, Kila mmoja alama hii aliitafsiri vile ajuavyo yeye huku madaai ya kuhusishwa na vikundi vya Illuminant /Freemasonry yakishamiri zaidi. Wengi wetu tumeichukulia kama alama ya mficho, kama zilivyo alama nyingi za kuficha na yenye ishara za...
  17. Godrick Gtson

    Macedonia empowering ministries network

    Hii forum ni kwa ajili ya kuongelea chochote, kutoa tafakari au jambo linalohusu dini la kristo na vilevile kuwafikia kwa mwongozo wa kidini. Our Mission is to identify, develop and release emerging kingdom leaders to unite the church and multiply leaders and congregation and thereby extend the...
  18. Dr Orb

    Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Back
Top Bottom