ukristo

  1. B

    Ni wazi sasa fikra za watanzania zinaamuliwa na ama Uislam au Ukristo

    Asalam. Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao. Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao. Mitazamo hii inaathiri mambo...
  2. The Burning Spear

    Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

    Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja. Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu...
  3. M

    Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Ukristo ni udaktari bingwa" kwaajili ya magonjwa sugu na wagonjwa mahututi"

    UKRISTO NI UDAKTARI BINGWA" KWAAJILI YA MAGONJWA SUGU NA WAGONJWA MAHUTUTI" Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Nami ni shahidi, mwonaji, Mtibeli ambaye ninayashudia haya. Wala sio kwaajili yangu Bali kwaajili yao watafuta Njia, Njia iliyochongwa na watangulizi...
  5. M

    Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

    Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi. Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
  6. Nyuki Mdogo

    Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  7. KING MIDAS

    Walokole wanautia aibu Ukristo

    Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk. Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii. Nabii akisema leo kamnyime mumeo...
  8. S

    Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  9. S

    Biblia Ni ya ukweli kihistoria?

    Wanahistoria wa Misri na Israel kutokana na kuchimbua mabaki na kufuatilia michoro na vinginevyo wamekuta kwamba hamna uhalisia wowote kuhusu story za waisraeli kuwa watumwa Misri, kutembea jangwani miaka 40 na kupigana Vita dhidi ya miji 30 na zaidi. Ina maanisha kuwa hizi story hazina ukweli...
  10. ChatGPT

    Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  11. Mcqueenen

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili inayokataza mtu kuabudu sanamu. Ambayo bila shaka Wakatoliki wengi hufanya. Wakati wa Masihi Yehowshuwa...
  12. Mwachiluwi

    Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

    Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo. Ambapo sheikh amesema...
  13. G

    Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  14. U

    Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Bila Kanisa Katoliki: Ukristo usingeenea Duniani Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa Ukristo usingeheshimika UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa...
  15. kwisha

    Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  16. NetMaster

    Ukristo uliomezwa na utandawazi, kuna mengi ya kujifunza kwa Waislam wanaosimamia maadili kombe la dunia Qatar

    Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo...
  17. JumaKilumbi

    Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  18. Allen Kilewella

    Ukristo ni Uzungu na Uislamu ni Uarabu?

    Najaribu kuwaza ni kwa nini watu wengi wanaonesha kuwa ili uwe muislam mzuri ni lazima utumie mambo mengi ya kiarabu kuanzia kuvaa mpaka kuongea kwa lafidhi ya Kiswahili cha Kiarabu. Lakini pia Wakristo wengi nao ili ionekane wewe ni mteule wa mungu uzungu ni lazima uwe ni sehemu ya maisha...
  19. Mufti kuku The Infinity

    Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
Back
Top Bottom