ukristo

  1. R

    Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
  2. JanguKamaJangu

    Nabii GeorDavie: Yesu akirudi leo atataka kutumia gari yangu na atataka nimfuate Airport

    Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi...
  3. R

    Mjue Kaisari Nero, Mfalme katili aliyeacha kovu kubwa kwenye historia ya Ukristo

    Ilikuwa tarehe 19 July mwaka 64AD. Moto mkubwa ulianza kuwaka karibu na mtaa uitwao Circus Maximus, katika jiji la Rumi. Kwa sababu jiji la Rumi kwa miaka hiyo lilikuwa limejengwa kwa vitu ambavyo vinashika moto haraka, jiji zima likashika moto mkubwa! Kwa miaka ile, bado hakukuwa na nyenzo...
  4. P h a r a o h

    Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

    Historia ya ukristo kwa ufupi Kuna injili zaidi ya 20, zimewekwa nne kwenye biblia - maono Roman Catholic. - Baada ya Yesu kufa na Kufukuka (according to matendo ya mitume) ★ Early Community (leader- Peter) Early Christianity (catholic) etc etc.... after several years from Marrin Luther -...
  5. Mhaya

    Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

    Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika: 1. Uislamu (Nchi za Kiislamu) Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
  7. Yoda

    Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

    Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia. Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au...
  8. kwisha

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  9. Tajiri wa kusini

    Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  10. Eli Cohen

    Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

    Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
  11. L

    Dunia inapoelekea sijui miaka ijayo ukristo utakuwa na hali gani

    Kila kitu kinachofanywa kwenye makanisa hakuna mpango na kumtukuza Mungu Bali ni mipango ya kibiashara kupata pesa..kwanzia mahubiri yanalenga pesa ,nyimbo ndo usiseme ni zaid ya bongo flavor
  12. D

    Hivi kwanini harakati za kumjua Mungu kupitia Ukristo na Uislamu zimeambatana na vurugu na mateso yasiyoisha?!

    Habarini! Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu🙏🙏 Kama kichwa Cha habari...
  13. Jagwanana

    Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite. Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara...
  14. M

    Hakuna Dini iliokuwa haijapitia misuko misuko ya Kisiasa- hii hapa kwa ndugu zetu Wakiristo

    Ndugu wadau. JamiiForums ni sehemu nziri ya Kupata elimu- Tuangalie misuko suko waliopitia ndugu zetu wa dini ya kikiristo. Vita vya madhehebu ya Kikristo vinahusisha migogoro na mapambano kati ya makundi mbalimbali ya Wakristo wenye imani tofauti ndani ya Ukristo. Hapa chini ni mifano ya vita...
  15. F

    Kwanini wakristo tunaamini Israel ni taifa la Mungu wetu huku Waisrael hawamuamini Yesu wala dini ya ukristo?

    Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui. Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la...
  16. Tajiri wa kusini

    Naomba nieleweshwe kwenye ukristo! Kwahiyo akikaribia kufa na akaomba sala ya toba haendi motoni?

    Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
  17. Mganguzi

    Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  18. SILLENT KILLER 2

    Umejiandaaje na uwepo wa Anti-Christ

    Kuna hii kitu ambayo inaitwa Anti Christ. Kitu hii kweli mbona inakuja kwa kasi sana wakuu nyie mmejiandaaje?
  19. Brojust

    Licha ya Baadhi ya vifungu vya biblia lakini mimi nilipendezwa sana na baadhi ya mifano hai ya watu waliojaaliwa vipawa mbali mbali katika imani hapa

    Salaam Jamiiforum Leo naomba kushare kitu fulani ambacho naamini kitatupa experience kubwa kwa sisi vijana wa kileo kutoka kwenu wana jamiiforum wakongwe na ambao mnajua mambo mengi kwenye nchi yetu hii ya Tanzania. Yapata wiki sasa imepita nilikuwa nahudhuria semina ya Askofu. Mkama wa...
  20. Technophilic Pool

    Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

    Wataalamu wa dini mje hapa? Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu? Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu) Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya...
Back
Top Bottom