ukuaji wa biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Yapanua Ufadhili wa Malori ya Biashara Kusaidia Ukuaji wa Biashara

    Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company Limited, Bw. Benson Mahenya (wa pili kulia), baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yanayolenga...
  2. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Biashara huonekana pale watu wasiokujua wanapoanza kununua

    Habari wana JF, Kuna kipimo ambacho wafanyabiashara wengi hawakiangalii wanapopima ukuaji wa biashara zao. Wengi huangalia: •Mauzo yameongezeka? •Stock inaisha? •Faida ipo? Lakini kuna swali moja la msingi sana: Ni wateja wangapi wanaokuja kwako ambao hawakuwahi kukujua kabla ya kuanzisha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara

    Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo yaliyofanyika leo Aprili 29,2025 kati ujumbe wa Tanzania na Vietnam uliojumuisha wafanyabishara...
  4. I

    JamiiForums Tanzania TIBA kujifungia kwa siku mbili na wadau wa bima kujadili namna Sheria zinavyoweza kuwa kichocheo cha ukuaji wa biashara

    Rais wa chama cha washauri wa bima Tanzania(TIBA), Okoth Oloo amesema kuwa Chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine kinatarajia kufanya mkutano wa nane mkoani Arusha utakaoweleta pamoja wadau wa karibu wanaohusika na masuala ya bima kujadili kwa pamoja masuala mbalimbali. Katika Mkutano...
Back
Top Bottom