Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe.
Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Support wanayowapa vijana kifedha ili wawe wanafanya press...
Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini.
Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊
Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊
Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
Wanabodi,
Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi.
Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01
Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand.
Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts.
Kickboxer ni moja ya classic movies...
Wale wahenga wenzangu mtakuwa mnamkumbuka huyu mwamba coz alitupa burudani wakati wa utoto wetu!Huu ndiyo muonekano wake wa sasa akiwa na umri wa miaka 70! Wakati ni ukuta!
Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban
Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.
Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.
Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio...
Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma.
Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia'...
Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas.
Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat.
Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu.
Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa na uchungu sana na Waarabu, ukifuatilia kwa makini utakuta wako busy kutafuta kipato huko Buza...
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah
=============
Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told...
Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom.
Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
Kuna muda mdada anatumia mbinu za kivita kumtega tajiri kihisia ili amnase. Na akimnasa anatumia njia za Cuba kumuweka tajiri kwapani.
Ikitokea mdada kadaka ujauzito wa tajiri hutamani kumzalia mtoto tajiri ili atoboe kama Jacqueline Mengi. Lkn bahati mbaya mimba nyingi za matajiri huchomoka...
Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.