Mzuka wanajamvi!
Vibaka Tehran nchini Iran wametoboa ukuta wa benki kutokea kwenye jenho lililo karibu na benki iyo nakuiba maboksi 280 (safes) zenye pesa na Vito vya thamani.
Wezi hao walichukua fursa (advantage) ya siku kuu ya siku tatu iliyokuwa ikiadhimishwa nchini Iran kufanya wizi huo...
Shida kubwa na chanzo Kikuu cha ajali ndani ya nchi yetu ni Kama zifuatazo;
1. Uchovu wa Madereva wakiwa barabarani.
2. Magari mengi Ni mabovu hasa malori hivyo ni Kama majeneza yanayotembea
3. Ulevi kwa madereva, Tanzania tunajifanya Sheria haziruhusu kuendesha ukiwa tayari umeshakunywa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... nimejenga fence nishapiga plasta bado rangi ... ambao mushajenga nipeni ushauri rangi ya kupaka ili ukuta uwe na muinekano mzuri na rangi isibambuke wala kupauka
Tahadhari ni muhimu na watu tuliwaambia,nyumba za hidden roof sio za kupunguza gharama.
Ona sasa fundi Maiko kamliza mtu,nyumba inavuja na ukuta unaoza,anaanza upya kufumua.
Hakuna kitu rahisi,cheki hapa👇
Wadau,
Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi.
Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana?
Tupeane ushauri.
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
Wanabodi,
Kazi Kuu ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao, katika kutimiza jukumu hilo, pia wanawajibu wa kutuliza ghasia na kuhakikisha kunakuwepo amani na utulivu kwa ustawi wa taifa hili.
Hizi picha ni picha za mazoezi ya kawaida ya ukakamavu ambayo hhufanyika mara kwa mara and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.