Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na...
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani.
Maswali...
Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu!
Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha!
Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo.
Yanga imedhihirisha ubora...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1.
Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx.
Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi.
Nimetumia gypsum powder, nimetumia na wallputy , sijatumia white cement na chokaa naiona kwenye nyumba za home...
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia...
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM ndio tu alikuwa ameapishwa, hata baraza la Mawaziri alikuwa bado hajateua. Je ni nguvu gani ya kiupako...
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa.
Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
Habari wadau,
Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo.
Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha..
Je, yupo sahihi? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea?
Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri
Tazama picha. Kiwanja...
Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji.
Ametoa agizo hilo baada ya...
Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.