Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...