ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

    Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016) Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa...
  2. M

    Hiki ni kielezo tosha ya kwamba mpaka kufika 2050 na kuendelea ukristo utajifia barani Ulaya na America

    Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
  3. Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  4. Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  5. Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  6. Rais Trump maisha yake yapo hatarini. Sababu amechagua amani Ulaya na kukataa 'uliberali'

    Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
  7. D

    Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  8. Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  9. Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  10. Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  11. Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO

    UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA? Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
  12. Baada ya mzozo wa jana kati ya Trump na Zelensky: Nchi z Ulaya zimeaanza kujielewa

    Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine...
  13. Huyu Zelensky wenu mnayemsifia kwa kupangusana na Trump, muonyeni Ulaya sio pa kukimbilia

    Ni kawaida kupaniki pale unakuwa denied. Lakini Europe is never safe. Hakuna binadamu wanafiki kama wazungu, sio wote lkn niseme serikali zao wote ni wanafiki. Tuliowahi kuishi na hawa viumbe weupe ni mashahidi. Ule msemo wa HAKUNA URAFIKI WA KUDUMU BAKI INTEREST wanao wana. zelensky...
  14. Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  15. Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

    Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11. Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote...
  16. C

    Ulaya ndo inabidi iongoze dunia na sio Marekani

    Hi JamiiForums, Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
  17. Umoja wa Ulaya (EU) waitaka Rwanda kutoa vikosi vyake Mashariki mwa Congo huku ikipanga kupitia upya makubaliano ya malighafi na nchi hiyo

    ===== Umoja wa Ulaya (EU) utapitia upya makubaliano yake ya hivi karibuni kuhusu malighafi muhimu na Rwanda kufuatia mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amesema Mwakilishi Mkuu Kaja Kallas. Hata hivyo, jumuiya hiyo haitafuata hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo...
  18. X

    Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  19. Ujumbe wa wabunge wa Ulaya wafanya ziara nchini Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi

    UMOJA WA ULAYA Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs) kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 24 hadi 26 Februari. Ziara hii...
  20. Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…