ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mateso chakubanga

    Rais Trump awapa wiki tatu ukraine na Ulaya kumaliza vita

    Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
  2. Ojuolegbha

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
  3. Ritz

    Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  4. I

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  5. X

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si...
  6. Mchochezi

    Hata Ulaya wanataniana; Ona namna Man City ilivyompiga kijembe Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or

    Man city walimpiga dongo Vinicius Jr kuhusu Ballon d’or jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya. Bado Vini akapafomu katika kiwango cha hali ya juu na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Hata ulaya vijembe na utani wa hapa na pale upo bhana🤣🤣
  7. hamis77

    Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi Wakristo wana hofu wakisikia hivyo Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
  8. Yoda

    Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  9. S

    Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  10. Father of All

    Hivi kuna watu wenye roho mbaya kama wahindi, wasomali, watutsi, na waarabu duniani? Ukiangalia wanavyowabagua wenzao ambao Ulaya huwekwa kundi moja

    Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje. Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao? Ukienda...
  11. I

    Canada yaomba kujiunga na Jumuiya ya Ulaya (EU)

    Canada imewasilisha ombi la kushtukiza usiku wa kuamkia leo la kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, likichochewa na matamshi ya Donald Trump kuhusu kuifanya nchi hiyo kuwa jimbo la 51 la Marekani. Wakati Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alipoangalia kisanduku pokezi chake asubuhi ya...
  12. The Assassin

    Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  13. Mi mi

    Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

    Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump. https://x.com/spectatorindex/status/1886132546020458812?t=lSz05YZkp1XveIK9-MGxVQ&s=19
  14. BabaMorgan

    Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

    Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
  15. Braza Kede

    Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  16. sergio 5

    CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

    1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
  17. Li ngunda ngali

    Tetesi: Umoja wa Ulaya kumtakia kila lililo la kheri Lissu

    Za ndani kabisa, Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini, amempigia simu Tundu Lissu na amemtakia kila lililo la kheri kwenye Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama keshokutwa.
  18. Yoda

    Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  19. Lord denning

    Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  20. S

    Urusi yachukua udhibiti wa mojawapo ya migodi mikubwa ya Lithium Barani Ulaya

    Urusi imechukua udhibiti wa mgodi wa Lithium wa Shevchenko baada ya kutwaa eneo unapopatikana mgodi huo. Hii ni mwendelezo wa Urusi kutwaa maeneo yaliyoko mashariki mwa Ukraine tangu kuanza kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Mgodi huu ni miongoni mwa migodi migodi mikubwa zaidi ya Lithium...
Back
Top Bottom