Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
"Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia."
–Brad Smith (Raisi wa Microsoft)
Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
Hey guys, leo nimeona niwagawie kijielimu kidogo kuhusu kufika Ulaya na America kwa wale wenye hayo matamanio lakini hawana mchongo,
1. Dating sites, Wengi najua mnazunguka sana kwenye dating sites kutafuta wazungu na bado hamjafanikiwa, dating sites sio mbaya je unatumia ipi? kama ni free...
Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,…
Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...
Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi.
Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo.
Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
Umoja wa Ulaya umesema umebaini ukiukwaji wa taratibu wakati wa Kuhesabu Kura na hivyo baadhi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanayotangazwa hayaendani na uhalisia wa Kura zilizopigwa
Taarifa ya Waangalizi wa Uchaguzi wa EU imesisitiza Mamlaka za Uchaguzi kufanya mchakato wa kujumlisha Matokeo kwa...
Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani!
Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.
Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.
Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
Umoja wa Ulaya hivi karibuni ulipitisha mswada wa hukumu ya mwisho ya kesi ya kupinga ruzuku ya magari ya umeme ya Umoja wa Ulaya iliyowasilishwa na Tume ya Ulaya, na kupanga kuongeza ushuru wa forodha kwa magari ya umeme yanayotengenezwa na China.
Kitendo hiki kimepingwa vikali na China, na...
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo...
Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa magari.
Masoko makubwa ya magari yanayosafirishwa kutoka Morocco ni Ufaransa, Uhispania, na Italia...
Wanaukumbi.
BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.
"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake.
Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.