Mambo vp jamiiforums.
Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga?
==========
==========
Jana nikiwa nimepaki gari yangu...
Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP.
Idadi hiyo inalifanya bara la Ulaya kuwa lililoathirika zaidi baada ya kusini mwa Amerika na nchi za Karibea ambazo zimesajili...
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli...
IJUE INCHI YA LUXEMBOURG ILIYO KATIKA BARA LA ULAYA
Ni kati ya nchi ndogo sana duniani. Ni ya 167 kwa udogo kati ya nchi 194 zilizopo katika dunia hii. Nchi ndogo sana duniani ni The Vatican iliyo ndani ya Roma. Nchi ya Tanzania ni ya 13 kwa ukubwa kwa bara la Afrika na ya 31 kwa ukubwa katika...
Wakati nchi nyingi za bara la afrika zimekuwa zikitia aibu na marais ambao wakichaguliwa aidha wanakaa nunusu kwa nusu Ulaya na nyumbani au kuamia kabisa Ulaya, Marekani au hata Falme za kiarabu na kuwa na miji huku na kuona hayo ni maisha ya kiongozi. Hii imekuwa aibu na fedhea sana kwa bara...
Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes.
Huu ni mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ambapo katika mchezo wa kwanza Kylian Mbappè...
Rais Uhuru Kenyatta leo tarehe 9 Machi, 2021 amefanya kikao na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel katika Ikulu ya Nairobi.
Viongozi hao wamejadili masuala pana yanayohusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Ulaya yakiwemo:
• Kukuza uhusiano wa sekta binafsi ya Kenya na Umoja wa Ulaya ili kubuni...
Nitajaribu kuieleza sayansi hii kwa njia na lugha nyepesi ili jamii ipate mwanga suala hili ambalo kisayansi ni complex. Lengo ni kuelimishana ili kupunguza mihemuko na mivurugano tunayoishuhudia kwa sasa hasa kwa baadhi ya wanasiasa na viongozi mbali mbali wa kijamii na wenye taaluma ya habari...
Shalom,
Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu.
Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo...
Salaam,
Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko.
Mwingine anaweza kunidadisi...
Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake.
Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid .
Kiwango bora walichonacho Manchester City katika mashindano ya ndani kinakwenda kujaribiwa usiku wa leo wakati watakapomenyana na Borussia...
Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England.
Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika mashindano ya Ulaya ilikuwa na matokeo sawa kwa timu zote, kila timu imeshinda mara 2 na kutoka sare...
Sevilla atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund katika Dimba la Ramon Sanchez- Pizjuan .
Mara ya mwisho kukutana kwenye michuano hii timu hizo mbili ilikuwa msimu wa 2010- 11 kwenye Europa ligi hatua ya makundi. Sevilla alishinda 1 -0 wakiwa Dortmund na mchezo wa marudiano ulimalizika kwa sare ya...
Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA ya 2005 ilikuwa mechi ya mwisho ya michuano hiyo ya msimu wa 2004-05 , mashindano ya mpira wa miguu huko Ulaya.
Fainali hiyo ilipigwa kati ya Liverpool ya England na Milan ya Italia kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Atatürk huko Istanbul, Uturuki mnamo 25 Mei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.