ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. konda msafi

    Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  2. N

    Siasa za Uchaguzi wa 2025 zinamng'oa Rais wa CWT kiulaini

    Huyu mama amekuwa na msimamo ambao umemfanya atofautiane na Katibu Mkuu wake Ndugu Seif. Katibu Mkuu wake huyo pamoja na kuwa na kesi ya jinai inayohusu ubadhirifu wa fedha za CWT Mahakamani hajaweza kusimamishwa kazi na ndiye ameendelea kukiongoza Chama kupitia Kamati Tendaji. Amekuwa na...
  3. msovero

    Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  4. Superbug

    Kusafirisha maua kwa ndege hadi ulaya kunaletaje faida?

    Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
  5. comte

    Janga la Corona limeifanya Ulaya itambue kuwa kuna utalii bora na utalii usio bora

    https://www.bloomberg.com/news/articles/2021-08-17/amsterdam-prague-and-barcelona-see-tourism-silver-lining-in-covid-lockdowns?utm_medium=cpc_social&utm_source=facebook&utm_campaign=BLOM_ENG_EDITORL_COALL_FB_SO_WTRF_ADSALEINIT_KEYCO_00XXXXCPC_2PFB_XXXX_BUSFINLUXREAD_X1854_COALL_XXXEN_ALLFOA_ASP3_...
  6. YEHODAYA

    Mzungu aliyegoma kurudi Ulaya ili amtunze mama yake mzazi

    Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake
  7. mshale21

    Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15" ------- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
  8. T

    Vyombo vya habari vya Marekani na Ulaya ni wanafiki sana

    Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
  9. Reginald L. Ishala

    Ni zipi tovuti za america na ulaya zenye muonekano mzuri, na language ipi imetumika?

    Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo. NATANGULIZA SHUKRANI.
  10. Shujaa Mwendazake

    Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  11. kavulata

    Wachezaji wanaosajiliwa Simba na Yanga sio wale wanaotafutwa Ulaya

    Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...
  12. C

    Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

    Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
  13. Mlaleo

    Israel nchi ya Bara Asia ya kati na Mwanachama wa Ulaya kukubaliwa kuwa Mwanachama wa African union imekaaje hii?

    Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya...
  14. Ritz

    Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada. Lissu angekuwa wa...
  15. Richard

    #COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  16. Miss Zomboko

    #COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  17. MK254

    Zanzibar kuwa ya kwanza kutumia bandari ya Lamu kupokeza/transhipment mizigo ya kwenda Ughaibuni

    Hayawi hayawi huwa....sio kuongea ongea bila vitendo, kimsingi boresha miundo mbinu yako tu, wateja watakuja.... Tunaandaa mapokezi ya meli kutokea Zanzibar itakayopokeza kontena 63 kisha zipakiwe kwa meli kubwa bandarini na kusafiri kwenda Ughaibuni.... The Lamu port will handle its first...
  18. Analogia Malenga

    UN: Watu 1,146 wamefariki kwa kipindi cha Januari hadi Juni wakijaribu kuzamia Ulaya

    Umoja wa Mataifa (UN) umeripoti jumal ya watu 1146 kufariki wakijaribu kufika Ulaya kwa kuzamia kwenye safari za bahari ya Antlantik na Mediterania Namba hii ni zaidi ya mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mwaka jana. Huku wakisema idadi inaweza kuwa kubwa zaidi kwa kuwa kuna ajali nyingi za meli...
  19. Analogia Malenga

    Magari ya petroli kutouzwa Ulaya ifikiapo mwaka 2035

    Umoja wa Ulaya leo umependekeza marufuku ya uuzaji wa magari yanayotumia petroli na dizeli itakapofikia mwaka 2035. Pendekezo hili ni sehemu ya pendekezo kubwa la kimazingira litakaloharakisha kugeukia matumizi ya magari yanayotumia umeme ambayo hayatoi gesi ya aina yoyote. Halmashauri Kuu ya...
  20. Kasomi

    Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
Back
Top Bottom