ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

    Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura. Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo. Jumapili...
  2. Z

    Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  3. S

    Qatar: Hatuwezi na hakuna nchi itakayoweza kufidia gepu la uhitaji wa gesi ya Russia Ulaya

    Afisa wa nishati wa Qatar kaonya kuwa si Qatar wala nchi nyingine yoyote ina uwezo wa kufidia uhitaji wa gesi ya Russia huko Ukaya. Taarifa zasema bei ya gesi ktk nchi za Ulaya imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 60 kufuatia vita vya Russia na Ukraine. =====...
  4. beth

    Umoja wa Ulaya wapiga marufuku ndege za Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza marufuku dhidi ya Ndege za Urusi, ikisema inafunga Anga lake kwa Ndege zinazomilikiwa na zilizosajiliwa na Urusi. Inamaanisha Ndege hazitoweza kutua, kuruka au kupita juu ya anga la Nchi yeyote ya EU. Umoja huo pia umesema utapiga marufuku Vyombo vya Habari vya...
  5. Venus Star

    Nchi za ulaya zinazotegemea gesi ya Urusi

    Sasa nimeona nianze kuzungumza mambo ya Urusi sasa. Hapa duniani nchi iliyobarikiwa kwa resources nyingi chini ya ardhi ni Urusi. Leo nitaongelea nchi zinazoitegemea urusi kwa gas.
  6. soine

    #COVID19 Nchi nyingi za Ulaya zaamua kufuata approach ya Hayati Magufuli dhidi ya COVID-19

    Amani kwenu Wana JF! Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga. Ni mwendo wa kuishi na corona kama Bongo. Hii inachukuliwa ili kusaidia watu kujitafutia, kuinua...
  7. Tanzania Railways Corp

    Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
  8. Stroke

    Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  9. sky soldier

    Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  10. beth

    Tanzania yapata msaada wa Tsh. Trilioni 1.15 kutoka Ulaya

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) imetoa Msaada wa Euro Miliono 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo Fedha zilizotolewa zinatarajiwa kutumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi miaka mitatu ijayo na Serikali imeainisha kutumia Tsh...
  11. John Haramba

    Putin: Hatutaki vita Ulaya, tuko tayari kwa mazungumzo

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha vita. Putin ameelezea utayari wa Moscow wa kufanya mazungumzo na Marekani pamoja na...
  12. beth

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
  13. Wu-Ma

    Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  14. Ritz

    Ziara ya Rais Samia Ulaya, Lissu na Lema mlituambia Tanzania imetengwa?

    Wanaukumbi. Kule kwenye kijiwe cha Space kumekuwa habari za porojo Spika wa kule Lema, na Rais wake Lissu, na wanaharakati njaa wanakubaliana kila porojo wanawamambia wafuasi wao ambao wamewashikia akili kuwa Tanzania tumetengwa kabisa yaani na hakuna nchi inataka kushirikiana na sisi sababu...
  15. Nyani Ngabu

    Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

    Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia. Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini. Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  17. Mpinzire

    Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

    Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah. Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na viyoyozi. Mzee wetu...
  18. GENTAMYCINE

    Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

    Nisiwe Mnafiki namkubali zaidi Kocha wa Yanga SC Nabi kuliko Kocha wangu wa Simba SC Pablo. Tuvumiliane tu kwa huu Ukweli wangu.
  19. comte

    #COVID19 Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  20. mdukuzi

    Hivi soka inayochezwa Ulaya na hii ya kwetu ni mchezo mmoja au inafanana tu?

    Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk. Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
Back
Top Bottom