Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
Wasalaam wanajamvi.
Jamani kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha? Nimekutana na case Kama tatu hivi ambazo zimenivuruga kichwa. Nitazielezea kiufupi.
1. Katika hekaheka za humu duniani nilikaribishwa...
Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo.
David McAllister, alipotosha kwamba...
Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni.
Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray.
Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
Wakuu, heshima kwenu.!
Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu.
1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
Ukiangalia ramani unaona kabisa bara la Ulaya na Asia ni vimeungana na kuwa kitu kimoja. Kwa pamoja huitwa Eurasia lakini hatuna bara la Eurasia tuna Asia na Europe. Ilikuaje ikawa hivi?
Top Consuming Country by Alcohol
Type
Consumption/Capita
Czech Republic
Beer
6.77L
France
Wine
6.44L
Cook Islands
Spirits
7.07L
Tanzania
Others
6.60L
The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland, ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo, ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake.
Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie...
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu.
EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu.
Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
Habari za muda huu wadau wote wa Jf!
Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa...
Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada
Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais.
Hajawahi kufika Ulaya.
Hakawahi kufika bara la Australia
Hajawahi kufika Africa
Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu
Viongozi wa Tanzania tunaomba...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea.
An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje.
Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo.
Utumwa huu usiokoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.