Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia
Taarifa iliyotolewa na Mwakilishi wa Umoja huo, Joseph Borrel imependekeza mzozo unaoendelea na wasiwasi wowote...
Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta.
Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov.
Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas
Hungary's top diplomat visits Moscow to negotiate gas supplies despite EU bid to cut deliveries
By Euronews with AFP...
VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu.
COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank
Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17).
Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno.
Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.
Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi...
Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
Wale wanaofkiri kuwa Ulaya maisha ni mazuri wala huwezi kuteseka namna ambavyo tunateseka Afrika Acha niwajuze tuu hapo unapoona pichani ni nchini Ufaransa jijini Paris hebu tazama maisha ambayo wanayoishi 😬😬😬
Kubwa zaidi ni pale mwamba hupigiwa simu na ukoo wote ili atoe msaada kwa sababu tu...
Kwa wale wanaotamani China au Russia ndiyo atakuwa superpower wanajidanganya.
Huu hapa ndiyo ukweli. The next super power atakuwa UMOJA WA ULAYA yaani European Union. Maandalizi YOTE Yako tayari.
Tayari sarafu ya hiyo empire ipo kazini (euro), Tayari soko la UMOJA huo lipo ( euro zone)...
Visa vya Homa ya Nyani (MonkeyPox) vimeongezeka zaidi ya mara tatu katika kipindi cha wiki mbili zilizopita Barani Ulaya. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WH) Kanda ya Ulaya, Dkt. Hans Kluge.
Amesema inahitajika hatua za haraka kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa huo ikielezwa...
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam.
Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
Ndugu Watanganyika Mungu ni Mwema, sifa kwake kwa kutujalia Uhai
Ikiwa una Mpango wa kwenda nchi yeyote Ile Duniani hasa Nje ya bara la Afrika jitahidi kuijua nchi hiyo japo kwa machache mambo ya kuzingatia ukiwa huko pamoja na tamaduni zao, kufanya hivyo itakusaidia sana kuishi kwa amani na...
Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa.
Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
Kamisheni ya Ulaya imetoa mapendekezo ya kutaka Ukraine iruhusiwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, kauli ambayo imetolewa wakati Urusi ikiendelea kushinikiza Nchi hiyo kutoruhusiwa kujiunga na Umoja huo.
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, ambacho ndicho chombo kikuu cha utendaji cha Umoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.