Kuna ukweli gani, naona tunazidi kudidimia kiuchumi kwa hali ya mmoja mmoja, watu wapo taabani bin hoi na shida ya mlo mmoja kwa siku inazidi kukuwa, wananchi wanaishia mihogo kwa chai mkate na jam ni nyumba zile tu, kwengine ni kauzu inayoliwa kidogo kidogo.
Kwanini Serikali haianzishi mfumo...