Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.
Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran.
Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja?
Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki.
Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
Interesting...
Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia
Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya).
Nafasi ya...
Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani?
Simple fact:
Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina...
Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina.
Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾
Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
Salaam Wakuu
Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255.
Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
Wapendwa naombeni kujua kwa wale wazoefu.
Hivi mchezaji wa ligi ya uingereza EPL akipata kadi nyekundu akiwa kwenye mechi ya ligi ya ndani kadi inaweza kumfanya asicheze next matches mfano za FA, UEFA, carabao au itamfanya asicheze mechi tatu za ligi tu kwakuwa kadi hiyo ameipata akiwa kwenye...
Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku.
Watanzania hivi mnaamini kwamba maendeleo yanapatika Kwa urais kama mnavyodhani? Mnaamini kwamba ili uweze kuwa...
Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji.
Ukweli ni kwamba wenzetu wa Ulaya huwa wanakuwa wameshauchagua mji ambao fainali itachezwa, bila kujali mojawapo...
"Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
Lionel Messi amefunga goli moja wakati timu yake ya Paris St-Germain ikitangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ licha ya sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg.
Goli alilofunga Messi limemfanya kuwa machezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika Ligi tano kubwa Ulaya, kwa kufikisha...
Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika.
Vodafone kuona...
Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Marco Lombardi pamoja na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) nchini, Mhe. Manfredo Fanti katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam...
Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc
Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.