ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Baleke atakiwa na timu ya Ulaya

    ◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%. ◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza Ligi ya Mabingwa ya UEFA. ◉ Mkataba unaotolewa ni wa miaka mitatu. ◉ Simba imearifiwa na ofa hii na...
  2. mdukuzi

    Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

    Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka. Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
  3. kyagata

    Rais William Ruto alalamika namna viongozi kutoka mataifa ya Afrika wanavyotendewa wakiwa Ulaya na USA

    Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu. Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao --- President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in global summits Ruto said African leaders are in some instances mistreated when they travel abroad to...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  5. William Mshumbusi

    Lengo la Simba isiwe kusajili kwa Sasa. Ina wachezaji Bora Sana Afrika. Kocha aendelee kuwaamini. Labda itoe Ulaya

    Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu. Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje Sawadong ametokea Chan, timu ya...
  6. L

    Ulaya inaihitaji China kwa ajili ya soko lake kubwa pamoja na amani

    Kwa muda sasa, uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya umekuwa kwenye mwelekeo wa kudorora, lakini mkwamo katika uhusiano huo ulianza kubadilika baada ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na rais wa Baraza ka Ulaya Charles Michel kufanya ziara nchini China mwishoni mwa mwaka jana. Katika mwezi...
  7. N

    Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  8. Teko Modise

    Malipo ya waamuzi katika ligi kubwa za ulaya

    Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi. Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa...
  9. Zacht

    Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  10. The Boss

    Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors. History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
  11. K

    Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

    Kumekuwa na wimbi la watu kukimbia mataifa yao duniani kote hususani Afrika na wengine wakiwa tayari kufia baharini ili wafike Ulaya na Marekani. Najiuliza kwanini watu hao hawakimbilii China, Russia na washirika wao? Wataalamu tujuzeni inakuwaje kila mtu anaona Ulaya na Marekani ni peponi...
  12. Mohammed wa 5

    Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue. Polisi wa Tanzania ni Kama wa ya Ulaya...
  13. JanguKamaJangu

    Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

    Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo. Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo...
  14. fyddell

    Uwezekano wa Barcelona kufungiwa kushiriki Kombe la Mabigwa Ulaya (UEFA)

    Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania. Nyaraka za mahakama zinaonesha kuwa, Barcelona imelipa kiasi cha €7.3m ambayo ni sawa na paundi 6.5m...
  15. Mateso chakubanga

    Ulaya na Marekani zaanza kukumbwa na mtikiso wa uchumi

    Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango cha riba kunusuru soko lao, nchini Ufaransa maanadamno ya kupinga ongezeko la ugumu wa maisha...
  16. HERY HERNHO

    Sarkozy: Ulaya ndilo bara lenye ukatili na unyama mkubwa zaidi

    Rais wa zamani wa Ufaransa ameitaja Ulaya kuwa bara lenye unyama mkubwa zaidi duniani, ambako vita vya kikatili zaidi hufanyika. Nicolas Sarkozy, ambaye kwa sasa ni mjumbe wa Baraza la Katiba la Ufaransa, amesema: "Hatuko katika Zama za Kati, bali katika karne ya 21. Tuko katika bara la Ulaya...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  18. The Sunk Cost Fallacy 2

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  19. Jicholamwewe

    Natamani kufanya kazi Ulaya na Amerika, naombeni connection

    Habari wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani nchi za ULAYA, USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende...
  20. Hemedy Jr Junior

    Hivi hata Ulaya kuna sehemu zimepewa majina ya nchi mfano hapa Tanzania kuna street inaitwa Morocco, Argentina nk

    Naomba kufahamu hilo au tunajipendekeza .....
Back
Top Bottom