ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr George Francis

    Katazo la ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu sehemu za kazi

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu. Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
  2. Mr George Francis

    Mazingira ya kazi kwa watu wenye ulemavu

    Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
  3. Mr George Francis

    Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  4. Mr George Francis

    Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  5. Mr George Francis

    Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  6. Mr George Francis

    Haki ya usawa na kutobaguliwa kwa watu wenye ulemavu

    Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
  7. Lady Whistledown

    Ulemavu wa Mdomo wa Sungura hausababishwi na Laana au kuchepuka

    Laana na kuchepuka ni miongoni mwa imani potofu zinazoaminika katika jamii kuwa zinasababisha ulemavu wa mdomo sungura na mdomo wazi kwa watoto. Mdomo sungura na mdomo wazi ni ulemavu unaosababishwa na hitilafu ya kimaumbile ambayo mfumo wa mdomo unashindikana kuungana ipasavyo wakati wa...
  8. H

    SoC02 Kama ningekuwa mimi ningefanya haya kuhusu mikopo ya vijana, akina mama na watu wenye ulemavu

    KAMA NINGEKUWA MIMI. Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu husika lazima wawe na kikundi kilichosajiliwa, baada ya hapo mchakato wa maombi ya mkopo tajwa huanza...
  9. Da'Vinci

    Ambao mlishawahi kudate na watu wenye ulemavu tupeni uzoefu

    Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto. Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
  10. Mr George Francis

    Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  11. K

    Ni yupi aliyekuwa wakala wa kifo & ulemavu kabla ya kuja kwa bodaboda?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
  12. The Sheriff

    Ni Muhimu Sana Kuwajumuisha Watu Wenye Ulemavu Katika Fursa za Ajira

    Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi. Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
  13. Analogia Malenga

    Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
  14. JanguKamaJangu

    Wanawake wenye ulemavu kuwekewa miundombinu rafiki katika vyumba vya kujifungulia

    Serikali imeendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya kutolea huduma za Afya kwa kuhakikisha kuwa Vituo vya kutolea huduma za afya vinawekewa miundombinu rafiki kwa wanawake wenye ulemavu kwa ajili ya kujifungulia. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Bungeni, Aprili 14...
  15. Mawematatu

    Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

    Naomba niende kwenye hoja. Watu wenye ulemavu Wana Hali mbaya linapokuja suala la upatikanaji na kutumia huduma za jamii. Mfano mdogo Sana kwenye daladala wanahali mbaya sana. Utashangaa unapokutana na kondakta kichaa.... Huduma ya usafiri kwenye majiji iondokane na matumizi ya mabasi yenye...
  16. sky soldier

    Kwanini kupata mtoto mwenye ulemavu wa akili, viungo, kipofu, bubu, kiziwi, n.k ni aibu na fedheha kwa wazazi wengi?

    Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda. yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi...
  17. Suley2019

    Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  18. Azizi Mussa

    Ushauri wa kisera kuhusu watu wenye ulemavu

    Huwa najiuliza kama watu ambao ni wazima kabisa wa afya tena vijana; kuna muda maisha yanawapiga hadi wanashinda na njaa, hivi tunawafikiriaje ndugu zetu walemavu ambao hawana mikono, miguu, hawaoni n.k? Katika misingi ya distribitive justice serikali kote duniani hukusanya kodi na kuzitawanya...
  19. Naipendatz

    Radi yapiga wapenzi wakizini

    Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba. Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu...
  20. R

    Watanzania wangapi wanapata ulemavu kwa ukosefu wa Matibabu?

    Afya ni Mtaji wa kila mtu, watu wakiwa na afya njema wataingiza kipato serikali itapata mapato na Nchi itaendelea. VIDEO niliyoweka hapo chini ni ya Msanii anaitwa Paschaūl ni mtu Mkubwa anajulikana lakini alipopata Ajali alihitaji Msaada wa Matibabu kila sehemu. Sasa nimejiuliza sana hivi...
Back
Top Bottom