ulemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  2. Roving Journalist

    Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  3. J

    Dar: Walemavu waliobomolea vibanda vya biashara waomba hifadhi UNHCR

    Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi kwa madai ya kushindwa kusikilizwa na Viongozi wa Mkoa na Wilaya.
  4. Miss Zomboko

    Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
  5. Miss Zomboko

    Hali ya Ulemavu Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar

    Hali ya Ulemavu Tanzania ni 6.8% ikiwa ni 5.7% kwa Wanaume na 7.8% kwa Wanawake)kwa Tanzania Bara na 3.2% (3.3% kwa Wanaume na 4.1% kwa Wanawake) kwa Zanzibar. Viwango vya Ulemavu ni vya juu zaidi katika maeneo ya Vijijini kuliko Mijini. Watu wenye Ulemavu Nchini Tanzania ni miongoni mwa...
  6. The Sheriff

    Milk Crate Challenge: Mchezo utakaowapa wengi majeraha na ulemavu wa kudumu

    Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na majeraha makubwa au pengine ulemavu wa kudumu. Video nyingi nilizopata kuona zinaaashiria mchezo huu...
  7. B

    CCM: Watu wenye ulemavu ni kundi muhimu, tutaendelea kulipa kipaumbele

    NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu mbalimbali za maendeleo kwa kuzingatia kundi la watu wenye ulemavu kwa kulijumuisha, kulishirikisha...
  8. Profesa ntare nkobe

    Wivu wa mapenzi umekuwa chanzo kikuu cha ulemavu na vifo

    Hali imekuwa mbaya ukiachana magonjwa tuliyo nayo kuuwa wapendwa wetu kwa wivu wa mapenzi nao una ua sana. Baadhi wamekuwa walemavu, kuna haja ya serikali kutoa elimu kwa nguvu zote angalau kupunguza haya madhara.
  9. J

    Jamii kuhusu watu wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu ni nini!Ni hitilafu ya Kidumu ambayo inaweza kumkuta mtu yoyote yule awe mtu mzima au mtoto kwa nyakati tofauti ambapo inaweza kuwa wakati wa kuzaliwa kabla na baada ya kuzaliwa Walemavu ni kundi ambalo limetengwa sana na kusahaulika katika Jamii zetu ambapo watu wengi sana tumekuwa...
  10. Geo C Starfish

    SoC01 Maoni juu ya wafungwa wa makosa ya mauaji, kusababisha ulemavu wa kudumu kwa wanaotegemewa na familia zao

    Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine. Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...
  11. FK21

    Mama jirani yangu anamfungia ndani mwanaye mwenye ulemavu

    Ni katika nyumba ya kupanga moja hapa mjini Dar. Kuna mama ana watoto wawili mmoja wa kike mzima mmoja ni uyo mlemavu nae ni wa kike anamfungia mwanae ndani kisa hawezi kutembea ni mwaka sasa mtoto hajaliona jua zaidi ya kusikika akilia tu. Je, hii ni sahihi huwa naumia sana nikisikia sauti ya...
  12. G-Mdadisi

    Kilimo cha Mwani kinavyowaliza Wakulima Zanzibar. 'Tunapata ulemavu wa Migongo'

    Na Gaspary Charles WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha wanayokabiliana nayo kutokana na wanunuzi kusitisha ununuaji zao hilo. Hayo yamebainishwa na wanakikindi cha...
Back
Top Bottom