Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi...
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up
Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa.
Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito
Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako.
Binadamu tunatofautiana hisia nadhani, wengine ni kali sana wengine ni kiduchu. Mwanaume ukikutana na pisi umeichakata...
Habari wapendwa,
Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla.
Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku.
Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi
Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu.
Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi?
Pombe ni dawa ya...
Ni hivi kwenye familia moja ya wagalatia huko mkoa X, kama unavyojua katika madhehebu fulani Fulani hivi usipo hudhuria ibada wakati wa Uhai wako basi wakati wa kifo chako nao hawahudhurii pia.
Basi Kaka mtu na mdogo wake wote ni walevi wa haja Tu,kama unavyojua kifo hakina taarifa mwisho wa...
Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao.
Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
Hivi vitu viwili vikikutawala haswa hata ukiwa Meneja unaweza kupitwa kimaendeleo na dereva wako.
Mifano ni mingi mno, hata msomaji bila shaka una mfano wako jinsi ulevi wa pombe na uzinzi ulivyowaharibia watu.
Kijana mwenzangu please weka kando uzinzi na ulevi, kisha tazama matokeo.
Unaweza...
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi.
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza Sunday Ibrahimu...
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi.
Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo.
Utafiti...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka.
Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari:
Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
Habari!
Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone.
Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake......
A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amesema kati ya changamoto walizokutana nazo kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi katika mkoa huo ni ulevi kwa baadhi ya makarani na upotevu wa vishikwambi.
Amesema vishikwambi sita vilipotea tangu kuanza kwa kazi hiyo Agosti 23 mwaka huu lakini...
Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe.
Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
Imeandikwa na : IDRISSOU02
Mdau wa JF.
Picha na Sema Tanzania
Hakika kila mtu anatamani mafanikio. Hata yule mtu mwenye mafanikio tiari, bado anatamani awe na mafanikio zaidi. Kutamani maisha yaliyo bora zaidi ndio kichochezi kikubwa kinachofanya...
Twende moja kwa moja kwenye hoja.
Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea naye na hata mke wake kuachana naye ni sawa nipo naye karibia mwaka sasa.
Ni mbaba mwenye upendo wa...
Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon .
Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja.
Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote.
Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika.
Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.