Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama.
Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja...
Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia
vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya...
Habari!
Ninaposema vijana wazinzi na walevi mtakwisha simaanishi kuwa mtaiacha dunia na kutuacha sisi ambao hatufanyi uzinzi na hatulewi. La hasha, namaanisha nguvu kazi inapotea, vijana wanakufa wakiwa wabichi, heshima na utu wa vijana umeondoka katika jamii kwasababu ya pombe na uzinzi.
Kivipi...
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar.
Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza...
Pombe ni kinywaji kinacho burudisha na kumfanya mnywaji kupumzisha akili baada ya kazi ngumu.
Beer/Bia ni kinywaji kinachotafsiriwa kama a social drink. Mara nyingi hunywewa kwenye public house au pub. Inategemea ukubwa wa kijiji lakini kila kijiji huwa na pub ambapo wanaume hukutana baada...
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro limemfukuza kazi mtumishi wa idara ya afya katika hospitali ya wilaya ya Same na kutoa onyo kali kwa wengine wawili na kuwakata asilimia 15 ya mishahara yao kila mmoja kwa muda wa miaka mitatu.
Hayo yamejiri leo Alhamisi...
Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa.
NINI KILINIPONZA?
1. UVIVU NA NJIA MKATO
Shule ya...
Habari zenu wakuu,
Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?
MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo.
Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja kuliko vurugu za Lamine Moro kule Kigamboni, wachezaji kugomea mazoezi magumu kabla ya mechi...
1) Utakusaidia sana uhifadhi wa pesa kwa matumizi mengine
Umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha fedha unatumia kwa unywaji pombe pekee? Sasa jumlisha kiasi chote kwa miezi yote ambayo ungetumia kunywea ungekuwa na kiasi gani. Muda mwingine hata kama kuna kiasi maalum uliweza unaweza jikuta...
Baba yangu mzazi aliishi maisha ya dhiki sana. Alikuwa mfanyakazi aliyepata mshahara mzuri tu lakini mshahara ulikuwa haumsaidii kuishi vizuri kwa sababu ya ulevi. Mwisho wa mwezi, akishapokea mshahara tu alikuwa anakesha sehemu wanazouza bia akinywa na kuwanunulia bia marafiki zake. Wanawake...
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau
---
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.