Wanaukumbi.
WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE.
Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti"
Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora.
Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii
Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi 😀😀
JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha...
Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data.
Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo:
Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji.
Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
Wakuu,
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao.
Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Umri : 3.5months
Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo
Walipo: Kigamboni-Kibada
Mawasiliano: 0713621678 au...
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na amani nchini humo kufuatia mapigano ya muda mrefu baina ya...
Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system
1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging.
2...
Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro
Kuna nini maeneo haya?
1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi?
2.Vyombo vya...
Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu
Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping
-----
China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi.
Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!!
Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila...
Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi?
Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.