ulinzi

  1. Financial Analyst

    Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  2. Suzy Elias

    Pre GE2025 Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  3. Roving Journalist

    Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  4. Ghost MVP

    Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  5. Msanii

    Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  6. Dr Matola PhD

    Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  7. The Burning Spear

    Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

    Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo 1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia? 2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.? 3. Nyama mnapewa bure? 4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.? 5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.? 6...
  8. Roving Journalist

    Serikali yaahidi kuendelea kuimarisha Ulinzi Kwa kutoa vitendea kazi Kwa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo Januari 12, 2024 wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  9. Down To Earth

    Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  10. B

    Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  11. Roving Journalist

    RPC Simiyu asema wanafanya uchunguzi aliyefariki akiwa chini ya ulinzi, ndugu wapeleka mwili Bugando

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio la kifo cha Limbu Kazilo, Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Wilaya ya Bariadi ambaye inadaiwa amepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi hilo ambapo ndugu wa marehemu wanadai kifo hicho kimesababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa Askari...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Balozi wa India Nchini Tanzania amuaga rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax

    Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
  14. JanguKamaJangu

    Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
  15. Roving Journalist

    Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
  16. Influenza

    Yafahamu majukumu ya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 imeanza kutumika rasmi Mei 2023 ambapo pamoja na kuwepo kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutakuwepo na Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo itakuwa ni chombo cha usimamizi wa Tume. Hata hivyo, ili kudumisha uadilifu wa Tume na...
  17. The unpaid Seller

    Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Peace upon ya'all, Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k...
  18. The Palm Beach

    Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  19. Ghost MVP

    Prince Harry Adai Kukosa haki Ya Ulinzi Akiwa UK

    Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza. "The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango...
  20. hermanthegreat

    Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
Back
Top Bottom