ulinzi

  1. Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  2. Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  3. WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  4. Facebook na Instagram zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 961 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Faini imetolewa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Mitandao ya #Facebook na #Instagram iliyobainika kulazimisha watumiaji wa Nchi za EU kupokea matangazo yanayoendana na wanachokifanya Mitandaoni. Uamuzi huo wa Nchi 27 zenye watu karibu milioni 450, ni utekelezaji wa Sheria ya...
  5. Tunampongeza Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan; Januari mpaka Disemba nchi iko salama

    Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi. Nani asiyejua urefu wa mwaka? Tuko salama vijijini kwetu, usalama na ulinzi kede kede, kwani ni juhudi za...
  6. Wale Makomando waliokuwa wanamlinda Freeman Mbowe wako wapi?

    Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
  7. C

    Polisi Temeke imarisheni ulinzi muda huu katika tamasha la Vuka na Chako kwani walioshindwa kuingia Wanaporwa na Vibaka

    Mbele ya Msikiti unaotizamana na Petro Station iliyo Jirani na Mgulani Barracks kuna Vibaka hapo na wakipora wanakimbilia kule Makaburini. Kwingineko ni huku kama unakuja ilipokuwa TCC kuelekea Kona ya Keko kuna Kipande hapo kina Giza Watu Wanaporwa. Tafadhali kwakuwa Uwanja umejaa mpaka...
  8. Naunga mkono wanaokataa kutoa ushirikiano kwa Ulinzi Shirikishi wachukuliwe hatua na wapelekwe Mahakamani

    Huku mtaani kwetu suala la ulinzi shirikishi ni kama limekuwa linachukuliwa poapoa hivi, kuna wengine wao wanajiona wapo salama labda kutokana na mazingira yao ya nyumba zao kuwa na geti au kuwa na walinzi. Wengine wanaona ni ubahiri kutoa fedha kwa vijana au watu wanaofanya kazi ya kulinda...
  9. Kijitonyama: Wananchi wanaokataa kulipia ulinzi shirikishi kupelekwa Mahakamani

    Maamuzi hayo yanatarajiwa kufanywa na Serikali ya Mtaa wa Bwawani Kata ya Kijitonyama, Dar es Salaam kwa wale watakaokaidi kulipa kutoa ushirikiano kwa ulinzi shirikishi. Mwenyekiti wa Bwawani, Felicianus Kamkala amesema “Wapo baadhi ya raia wanaotaka kuleta mgomo wa kuchangia fedha za motisha...
  10. Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ? 2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
  11. M

    Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

    Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi. ======= US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon Amid an onslaught...
  12. Wabunge: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iitwe Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo. Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
  13. Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  14. Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  15. Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
  16. Raisi wa ufaransa hatofautiana na waziri wake wa ulinzi kuhusu Ukraine

    Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben Wallace says UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments UK defense secretary Ben Wallace ©...
  17. Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA aomba ulinzi wa Mahakama, adai ana siri nzito

    Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo. Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
  18. Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  19. Stergomena Tax anaweza akabaki mwanamke pekee kuwahi kuongoza Wizara ya Ulinzi

    Mh. Stergomena Tax anaweza akaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mwanamke pekee kuwahi kushika wizara nyeti ya Ulinzi. Baada ya kuondolewa hyo jana, ambapo amehudumu kwenye wizara hiyo kwa mwaka mmoja tu nafikiri Rais Samia ashaona kuna wizara sio za kufanya majaribio ya kuwaweka...
  20. Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

    Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…