Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri
Na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.
YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu,
Nawewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7,
Yaani unasumbua watoto kwenye lishe...