sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Hizi taasisi unazoziona zimesimama, kama vile Roma au Lutheran, ni utaratibu na misingi ya wazugu na haina uhusiano na ukiristo, hata ile chain of command mfano utoka papa hadi muumini wa kawaida pale kimara temboni, ni taratibu za kizungu ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja a ukiristo.
Ukiristo halisi wa Afrika sasa angalia haya makanisa yasio na affiliation na wazungu kabisa, wale jamaa wa mitume na manabii, watu wa majeshi majeshi na kukanyaga mafuta.
Ila kuna wakaza kichwa wa jamiiforum wanajikuta wako advanced as christians hata kufikia hatua ya kukejeli waislam kwa kuwaita "wavaa kobaz" bila ku acknoledge kua hayo wanayoyaishi ni uzungu kwa asilimia kubwa.
So if you want to learn how African church would looks, look at those church without affiliation to Europeans' established church, anything also is lie.