umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  2. Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

    Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
  3. Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  4. Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  5. B

    Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

    Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania. Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
  6. Dullsykes amekazia kama unataka wanawake wazuri basi tafuta pesa ama umaarufu.

    Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu. Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha...
  7. Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

    Muungwana haaminiki tena, Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena. Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya...
  8. R

    Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  9. Mfahamu Bubbles, sokwe wa Michael Jackson aliyejipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo. Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
  10. Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  11. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  12. Ni kweli umaarufu wa marehemu Kanumba ulikuwa ni zaidi ya Diamond Platnumz?

    Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
  13. Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  14. G

    Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

    Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k. Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ? Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ? Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
  15. Jinsi Jeshi la Polisi linavyoendeleza vitendo vya kukikandamiza chama Cha Chadema, ndivyo wanavyokiongezea umaarufu

    Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha CUF, ambavyo vimepakwa rangi za bendera ya Chama Chao, ambazo alidai kuwa chama hicho Cha CUF...
  16. Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  17. Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    SUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI, DAR ES SALAAM. 1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi. 2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadhi binafsi siyo kwa kutuma askari wa chini, Kuanzia nje ya ofisi za...
  18. F

    Kila kinachotokea kwa CHADEMA kinapaisha umaarufu wa chama hiki, tusonge mbele

    Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.
  19. Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  20. Umaarufu wa Marekani barani Afrika washuka huku wa China ukiongezeka

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo uliofanywa katika nchi 36 za Afrika unaonesha kuwa, umaarufu wa Marekani barani Afrika kwa mwaka 2023...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…