umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

    Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama. Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu. 1.Kufungwa kwenye Yanga Day. 2. Aliyewafunga Ana jina baya. 3.Tukio la mama J. (Kashfa) 4. Kufungwa na Rivers ya...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  3. tpaul

    Askofu Gwajima anatafuta umaarufu wa kisiasa au kidini?

    Mnamo tarehe 29/08/2020 Askofu Josephat Gwajima aliwaeleza waumini wake kuwa ana ‘kitu’ ndani yake kilichomuambia asikalie kiti na kutumia kipaza sauti alichokuwa amepangiwa na mwenyekiti wa kamati ya wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Kwa tafsiri nyingine ni kuwa Kamati ya Bunge...
  4. Miss Zomboko

    Marekani: Umaarufu wa Biden washuka baada ya Mji wa Kabul kutekwa na Taliban

    Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari la Reuters / Ipsos. Baada ya mahojiano yaliyofanywa na raia kadhaa wa Marekani siku ya Jumatatu...
  5. Superbug

    Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

    Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO. JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
  6. HaMachiach

    Mambo 5 yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

    Rais wa Jamhuri wa Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa, kufuatia utawala wake kugubikwa na mambo matano yanayoutia doa katika siku za hivi karibuni. Anaripoti mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi Online na...
  7. demigod

    Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

    Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi. Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa. Bado ikaonekana...
  8. Komeo Lachuma

    Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

    Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya. Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
  9. Suley2019

    Askofu Malasusa: Msipende umaarufu kupitia misaada

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Dk. Alex Malasusa, amekemea baadhi ya Wakristo nchini wanaotumia njia ya kuwasaidia wahitaji ili kujipatia umaarufu au kukubalika zaidi katika jamii. Alisema kutenda matendo mema na kuyatumia kama...
  10. T

    Hayati Magufuli aliupa kiki na umaarufu upinzani nchini lakini Samia amewanyamazisha kabisa!!

    Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability. Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya dunia na kusema kweli dunia nzima ilisimama pamoja nao. Kipindi cha huyu mama wapinzani wameachiwa...
  11. B

    Natafuta umaarufu

    Habari zenu ndugu wanaJF Mimi natamani kuwa maarufu humu au niwe super star waJF kama akina mwafulani Sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?! Nipeni mbinu wakuu
  12. Mshana Jr

    Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
Back
Top Bottom