Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni
Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli
Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
Mungu ni mwema Wakati wote
Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa.
--
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa katika historia ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa.
Tamasha la Mwaka Mpya wa jadi wa China (CCTV Gala) ama kwa jina jingine linajulikana kama Chunwan, ni tamasha maalum la Mwaka Mpya wa jadi wa China linalotayarishwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China, (CMG). Tamasha hili ambalo hutangazwa kila mwaka katika mkesha wa Mwaka Mpya wa China sio tu...
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
Habari wana jamii forum?
Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk.
Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
USITAFUTE UMÀARUFU KWA NGUVU UTAJIDHALILISHA NA KUISHIA KUJICHUKIA.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Watu wengi hupenda kujulikana, na wengi huhusisha kujulikana kama moja ya nguzo za kuheshimiwa. Kuna ukweli katika hilo lakini itategemea unajulikana kwa jambo gani. Nini kinachopelekea wewe...
Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka.
Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru.
Amechanga karata na huku tuendako...
Kicheko na kilio havifanini japo zote hali za hisia 0.KARIBU TANZANIA Nchi isiyoisha matukio na watu wake wanaendeshwa kwa matukio(mitandao) kila mtu anajua yaani mchumi atakupa habari au sheria za utabibu na mwanasheria atakuambia mambo ya uchumi. Leo hili kesho lile na kila mtu anajifanya...
Habari za asubuhi!
Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.
Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
Jana wakili msomi Tundi Antipas Mughwai Lissu alikuwa na ziara Dar es salaam katika maeneo ya Mbopo ambayo yana mgogoro kati ya wananchi na Shirika la Maendeleo Dar es salaam (DDC).
Mh. Lissu mwanzo wa hotuba yake aliwauliza wananchi waliofika kwamba, nyie ndio wakazi wa eneo hili pekee...
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi na kutukanana.
Ndio maana anaona kwamba wenzake wanapoenda katika maridhiano, ni kama "wanamchimbia...
Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi.
Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike.
ITAENDELEA!!
1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
sisalimii leo
Huyu kijana anajulika sana mwazo watu hawakuwa wanamuelewa sasa baada ya kumaliza chuo pale UDSM ndipo akapata mpenyo wa kujulikana mwazoni watu walikuwa hawamuelewei kabisa
Lakini baada ya kuwa maarufu fursa zikawa zinakuja kwa wingi sana ndipo akapata nafasi ya kuwa...
Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320.
Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
katika kuelezea hisia za mapenzi, sio lazima kila siku mwanaume tuu ndio awe mwanzilishi wa kusema hisia zake kwa mwanawake, kuna kipindi mwanamke anaweza kufunguka.
achana na vicheche kadhaa vinavyokomalia watu vyenye mapenzi ya mikwanja, majina na umaarufu
ambavyo ukiwa chata tu vinajigonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.