👋
Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi.
Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video...
Wana jukwaa habari zenu!
Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji)
Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga.
Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
Hello!
Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.
~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba: 0674074563
~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
~ Nipo Temeke Dar es Salaam
Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali.
Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na...
Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu
Kwanza, serikali haijawatumia kabisa hili kundi la hawa watu wanaokutana na watalii moja kwa moja na...
Nitaweka makala ndefu siku ya Jumanne maana bado namalizia ku compile
Makala Hiyo itahusisha Mengi ambayo hata mtu hawezi kujisema,
Itahusisha mazungumzo binafsi, Maoni binafsi na ushauri alokuwa akiongea na watu wake wa karibu, yeye mwenyewe .
Itaweka Mtandao uliomsumbua sana na kuhangaika...
Wengi wanaibiwa magari yao au vitu vilivyo ndani ya gari kwa sababu wezi wamevunja kioo n.k ila wezi proffesional siku hizi wanaweza kuku-time ukiwa unataka kuloki milango. Cheki hii👇
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau.
Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha...
Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.
Wanufauka ni
Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12...
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.
Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
1. Katumia Nguvu Kubwa sana ma Juhudi nyingi mno Kuomba kwenda Ikulu Dodoma leo na yawezekana asingepata nafasi hii Presha yake ingepanda na kuanzia Usiku huu au Kesho 'abbreviations' za R.I.P zingeanza Kutawala Kwake kila ukimuita, ukimtaja Hewani.
2. Tokea alipojiuzuru ana Huzuni Moyoni ya...
Fadhili Mpunji
Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa kutokana na virusi vya aina mpya vya Omicron, ambavyo vimetajwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
Maeneo mengi ya nchi wameamua kutumia wakandarasi kujenga madarasa kutokana na pesa zilizotolewa mkopo na IMF. Lakini pamoja na kutumia wakandarasi baadala force account Iliyokuwa imezoeleka umakini unahitajika vinginevyo tutapigwa na madarasa haya yatajengwa chini ya kiwango.
Ujenzi wa...
Nitawalaumu kwa umakini mdogo mlioonyesha leo kufumania nyavu, nafasi 4 za wazi zingetosha kuwafanya muondoke na ushindi Leo hii, huwezi kupoteza nafasi kama hizo halafu ukategemea eti usonge mbele kwenye michuano mikubwa Kama hii, ukichezea nafasi basi ujue utaadhibiwa tu, pia sikuona mantiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.