Nikiitazama hii picha,
Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata tabu sana kufikiri walikuwa hatarini kiasi gani IKIWA Freeman Mbowe alikuwa ni Gaidi kweli.
Walinzi...
1.1 Utangulizi
Katika muingiliano unaotabirika na usiotabirika wa mambo mchanganyiko ambayo yanaathiri dunia katika upande chanya na hasi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, kufanikiwa kunahitaji umakini katika mikakati ili shughuli ambazo mtu au taasisi imeanzisha au ni endelevu...
🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa?
🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye...
Bila shaka hamna chama tawala barani Afrika kinachoenjoy upinzani dhaifu kama CCM.
Chama kikuu cha upinzani nchini, Chadema ni moja ya vyama ambavyo unaweza kuviendesha kisaikolojia kutoka uchaguzi mmoja mpaka uchaguzi mwingine katika kipindi cha miaka mitano, na ninashukuru hilo linawezekana...
Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa...
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.
Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.
Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na...
Mbunge Godwin Kunambi amesema jambo la utoaji wa Haki ni gumu na linahitaji umakini mkubwa kwenye maamuzi
Ameeleza hayo Bungeni ambapo amegusia Sheria za utakatishaji Fedha na Uhujumu Uchumi akisema zilitungwa kwa nia njema, lakini changamoto iliyopo sasa ni utekelezaji wake
Ameeleza, "Kuna...
Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart, vijana wamekimbilia kwa wachina nako mnaleta wageni sasa wakafanyekazi wapi? hata huko jkt walikokuwa...
Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.
My Take:
Natengua msamaha...
Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini!
1. Kwa muda mrefu wateja wa simu wamelalamikia wizi wa makampuni ya simu kwa wateja, mara zote James Kilaba umetia pamba kwenye...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
Habarini za uzima wakuu, poleni na majukumu yanayo wazonga, mungu atupiganie kwenye maradhi yeyote yale.
naombeni niwape story fupi kabisa ndeni mnipe ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu binafsi ambayo yatatokana na mawazo yenu bora kabisa.
Mimi nilitolewa kijijini na shangazi yangu kuletwa...
Habari ya muda huu wana MMU!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano.
Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano.
Kutokuwa makini...
Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari.
Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi...
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.