umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

    Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu . Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama...
  2. Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  3. Kijana wa kikristo anatakiwa kukaa kwao hadi atakapooa hata kama ni miaka 50. Umasikini wa wazazi ndio unapelekea watu wakimbie kutafuta maisha

    Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga. Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake. Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
  4. Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

    Umasikini upo wa aina nyingi unalengwa hapa ni ule wa kipato. Umasikini ni matokeo ya akili kushindwa kubaini fursa zinazokuzunguka ili uzigeuze mtaji. Popote penye watu Pana pesa,watu ndio soko lenyewe. umasikini ni hali ya mtu kushindwa kuchukua pesa Toka kwa watu.Bakhresa anachukua pesa...
  5. Nadhani tatizo kuu la umasikini wa Watanzania linaanzia hapa...

    Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.
  6. Tamko la NEMC litasaidia "Jobless" kupata Mtaji wa Biashara na Kuuaga Umasikini, hivyo tunawashukuru mno

    Kama nilivyomsikia Afisa wao Mmoja ( NEMC ) ni sahihi GENTAMYCINE nichukue tu nafasi hii mapema kabisa Kuuaga Umasikini niliokuwa nao sasa mwaka wa Kumi ( 10 ) kwani naenda kuwa Tajiri wa Kutukuka. "Tunajipanga kuja na Tangazo la kumtaka Raia yoyote akiona tu Dereva wa Lori, Gari Dogo au Basi...
  7. "Pepo" la umasikini

    PEPO LA UMASKINI Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako. Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini...
  8. Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa. SCENARIO Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine...
  9. Utajiri , umasikini unapatikana katika Akili ya Mtu

    Wakuu habari ya uzima Kiukweli Younger Generation waambie tu ukweli ili wasiendelee kupotea ili kuwa Tajiri au kuwa masikini na kuishi Maisha ya wastani ni namna unapoamua kuiweka Akili yako katika mitazamo chanya. That's way Kuna watu hawana MIKONO Wala Miguu ila wanamiliki ukwasi Mkubwa...
  10. Kwanini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kutoka kwenye umasikini na kupata maendeleo?

    Swali ubaoni: Kwa nini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kupata maendeleo ya kiuchumi kutoka katika hali duni( umasikini ) kwenda hali bora ? Mifano: Russia U.S.A Europe Arab nation's China Korea Japan Singapore Taiwan Turkey Iran and so on.
  11. Umasikini ni wetu na ujinga pia. Tutatokaje?

    Kwanza, kijana uliyeing'ang'ania CCM kwangu mimi nakuona ndiyo mjinga wa kwanza nchini na unapaswa kuwajibika kwa kila machozi ya walalahoi wote nchini na mateso yote nchi inayoyapitia! Unakuwa CCM? Kwani wewe ni jini usiye na huruma na watu? Leo hii nchi inalipishwa mabilioni kwa mabilioni...
  12. Licha ya nchi kuwa na umasikini, wapo wenye afadhali lakini bado wanapigwa gepu na Waarabu/ Wahindi, tatizo nini?

    Pamoja na nchi kusumbuliwa na umasikini, zipo familia ambazo zinaishi fresh, tunaziita mambo safi. Licha ya hali hii lakini bado wageni na Watanzania wachache wenye asili ya nchi za nje wanakimbiza. Ukicheki listi ya matajiri, ambae aliwahi kujitahidi labda kwa mbali ni Marehemu Mengi angalu...
  13. SoC03 Kumaliza tatizo la mimba na ndoa za utotoni tuondoe Umasikini kwanza

    Tuondoea umasikini wa Vipato ili kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni na wanafunzi kupewa Mimba. Ukijaribu Kusoma Historia ya wazungu hasa maisha yao ya miaka ya 1800 huko hadi 1930 huko utagundua kwamba haya yanayo tokea huku kwetu sasa pia na kwao yalikuwepo, Wazungu walikuwa na Ndoa za...
  14. Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  15. Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  16. Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
  17. Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  18. Fanya haya unapoona hali yako ya maisha ni mbaya au umasikini umezidi

    Nifanye nini ninapoona maisha yangu yanaendelea kuwa magumu Wakati maisha yanapoendelea kuwa magumu, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua: Chambua hali yako: Tafakari kwa kina kuhusu sababu zinazofanya maisha yako yawe magumu. Je, kuna changamoto za kifedha, kiafya, au za kihisia? Kuelewa...
  19. Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

    Hi Mimi kwa upande wangu naamini katika kuanza na kidogo na kukithamini naamini hakuna alie anza na kikubwa na kama yupo wengi walishindwa kukithamini kikubwa Vijana now days wanataka kuanza na mshahara mkubwa kuliko elimu yao na uwezo wao najiamini katika kazi na kipaumbele changu siku zote...
  20. T

    Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…