umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ya Bandari, Rasilimali za Taifa, Umasikini na Rushwa: Je, sisi ni Taifa huru? Aina tatu za uhuru

    Asalam, bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa? Uhuru wa Kisiasa Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
  2. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  3. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    Njia sahihi za kutokemeza umasikini ni kubadili mfumo wa uongozi

    Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake.. Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi...
  4. sky soldier

    Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Kufulia wanakuita kwa kimombo "Broke", kwa kinaijeria "sapaa", kusikiage tu! Nakumbuka niliwahi kuwa na bajeti ya 200 kwa siku, nakula mhogo wa kuchemsha imeisha hio hadi kesho, pesa ikakata nikawa nafunga safari natembea lisaa ni nje ya mji kidogo naenda kukwea miti ya mapera, nakula na huo...
  5. Nyendo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba: Umasikini uliokithiri umepungua Tanzania

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
  6. She Quoted you

    Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Naombeni ushauri jamani, Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani. Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10. Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini...
  7. Suley2019

    ACT Wazalendo walia na umasikini mikoa inayoongoza kwa kilimo

    CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote. Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
  8. DR HAYA LAND

    Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
  9. Mzalendo Uchwara

    Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  10. kwisha

    Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

    Kuna Restaurant Saloon ya kike na ya kiume Duka la nguo Duka la nafaka Bar Duka la mangi Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
  11. S

    Kuna uhusiano kati ya umasikini, ujinga na kelele?

    1. Kwanini kwenye usafiri wa ndege huwa hawapigi mziki mkubwa kama alivyo kwenye basi? Halafu angalia aina ya watu wanaopanda basi na wale wanaopanda ndege. 2. Kwanini maeneo kama Masaki, Upanga na Osterbay hayana kelele, ukilinganisha na Bugurini, Mwananyamala n.k, halafu angalia aina ya watu...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

    Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga. Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
  13. Librarian 105

    SoC03 Athari ya uchama nchini kikwazo cha vita dhidi ya umasikini

    Kwanini umasikini unaendelea kuwa adui wa taifa? Ni vigumu kuupatia majibu ila kwa kuugawa maeneo mawili. Nayo; a) chini ya mfumo wa chama kimoja 1961-1992: hapa umasikini ulipigiwa vita kwa kutumia falsafa ya ujamaa wa kujitegemea uliosimamia sera ya uchumi wa kisiasa kuchochea sekta ya kilimo...
  14. Infinite_Kiumeni

    Tambua haya wakati unaachana na Umasikini

    Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini Unachoweza wewe ni kujitoa kwenye umasikini. Hata kama ukitaka kumsaidia mtu. Utambue kwamba huyo mtu...
  15. Mwande na Mndewa

    Adui wa Taifa ni nani? Je, ni wapendwa wetu waliokufa au ni Ujinga, Maradhi na Umasikini?

    Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa wapendwa wetu waliokufa,tuliozaliwa mwaka 1980 tulikuta utamaduni mzuri wa Watanzania,tulishirikiana...
  16. TheForgotten Genious

    Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  17. Bushmamy

    Umasikini, ukosefu wa lishe bora huleta maradhi mengi miongoni mwetu

    Magonjwa yamekuwa mengi sana siku hizi, hospital nyingi zimezidiwa na wagonjwa. Pamoja na mambo mengine ukosefu wa lishe bora nao pia ndio chanzo cha baadhi ya magonjwa mengi. Kutokana na umaskini uliokithiri miongoni mwetu watu hula chochote kilicho mbele yao kutokana na wengi kutoweza kumudu...
  18. USSR

    Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 . Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya...
  19. Logikos

    Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu

    Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...
  20. HIMARS

    Kuchagua viongozi wasio na elimu ndicho chanzo cha umasikini Tanzania

    Wabunge Madiwani Wenyeviti serikali za mitaa Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo. Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa. Madiwani kwenye...
Back
Top Bottom