Kipindi Luteni Mstaafu, Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kulikuwa na omba omba maarufu, nafikiri aliitwa Matonya, ambaye kila aliporudishwa kwao Dodoma, baada ya muda, alirudi tena jijini.
Inasemekana, hakuwa maskini kama ambavyo ingeweza kudhaniwa. Alikuwa anamiliki mali...
✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida
Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu.
Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa.
Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
Kufulia wanakuita kwa kimombo "Broke", kwa kinaijeria "sapaa", kusikiage tu!
Nakumbuka niliwahi kuwa na bajeti ya 200 kwa siku, nakula mhogo wa kuchemsha imeisha hio hadi kesho, pesa ikakata nikawa nafunga safari natembea lisaa ni nje ya mji kidogo naenda kukwea miti ya mapera, nakula na huo...
Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia.
Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu
Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika.
Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu.
Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary...
Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images
UTANGULIZI
Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa.
Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi.
Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
Habari,
"Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
Tatizo ni Umaskini au tatizo ni kuwapa watu fulani wenye tamaa na njaa Kumiliki wa vitu vyote na kuvifanya kuwa chini Yao na kuwasahau wenzao?
Au tatizo Umaskini ni kitu cha asili na kurithi kama wasemavyo wengine kuwa akiwa baba masikini hadi mtoto anaweza kuwa masikini?
Au masikini upo...
Inakuwaje kijana unakuwa hupatikani mida ya kazi? Utetezi ni hakuna network au ilikuwa chaji, yaani saa 4 asubuhi simu inakuwa chaji si upumbavu huo?
Ukitumiwa SMS hujibu hadi upigiwe na kujitetea sijaiona message? Kwenye email ndo majanga matupu, wengine mna biashara ila hata ku-update mara...
Habari,
Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji.
Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
"Bora mtu baki kuliko ndugu"
Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa.
Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini.
Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa kuuongezea muda mradi huo hadi mwaka 2025 ambapo awali ulikua uishie mwaka 2023.
Moja ya manufaa ya mpango huo ni kuendelea...
Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena.
Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.