umaskini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Si kila omba omba anao umaskini wa fedha

    Kipindi Luteni Mstaafu, Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, kulikuwa na omba omba maarufu, nafikiri aliitwa Matonya, ambaye kila aliporudishwa kwao Dodoma, baada ya muda, alirudi tena jijini. Inasemekana, hakuwa maskini kama ambavyo ingeweza kudhaniwa. Alikuwa anamiliki mali...
  2. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua Mfanyabiashara Mkubwa

    ✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
  3. SoC03 Kupunguza Umaskini: Njia ya Kujenga Mustakabali Bora kwa Taifa

    KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
  4. N

    Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

    Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa. Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
  5. Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

    Kufulia wanakuita kwa kimombo "Broke", kwa kinaijeria "sapaa", kusikiage tu! Nakumbuka niliwahi kuwa na bajeti ya 200 kwa siku, nakula mhogo wa kuchemsha imeisha hio hadi kesho, pesa ikakata nikawa nafunga safari natembea lisaa ni nje ya mji kidogo naenda kukwea miti ya mapera, nakula na huo...
  6. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia. Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
  7. Tanzania na umaskini wa CCM

    Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika. Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu. Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary...
  8. SoC03 Kofi Annan | “Utawala bora labda ndio sababu muhimu zaidi katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo”

    Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images UTANGULIZI Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan, uongozi bora ni labda sababu muhimu zaidi katika kufanikisha malengo haya. Kwa hiyo, ni muhimu...
  9. Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
  10. L

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  11. Umaskini na Nadharia zake

    Tatizo ni Umaskini au tatizo ni kuwapa watu fulani wenye tamaa na njaa Kumiliki wa vitu vyote na kuvifanya kuwa chini Yao na kuwasahau wenzao? Au tatizo Umaskini ni kitu cha asili na kurithi kama wasemavyo wengine kuwa akiwa baba masikini hadi mtoto anaweza kuwa masikini? Au masikini upo...
  12. Kijana hasa mjasiriamali unayezingua kwenye mawasiliano zama hizi hujitambui na umeridhika na umaskini wako

    Inakuwaje kijana unakuwa hupatikani mida ya kazi? Utetezi ni hakuna network au ilikuwa chaji, yaani saa 4 asubuhi simu inakuwa chaji si upumbavu huo? Ukitumiwa SMS hujibu hadi upigiwe na kujitetea sijaiona message? Kwenye email ndo majanga matupu, wengine mna biashara ila hata ku-update mara...
  13. SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  14. Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  15. Tukio au jambo gani lilifanya uzidi kuuchukia umaskini?

    .
  16. Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  17. Bila upendo na umoja ni ngumu sana kuuondoa umaskini kwenye familia

    "Bora mtu baki kuliko ndugu" Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
  18. Hakuna anayeupenda umaskini ila suala la kuzipata pesa za mauza uza hapana kwa kweli, wacha tuzisake kibishi turidhike na kidogo tunachokipata

    Hizo pesa za mauza uza hata waganga wanazikimbia ilhali wao wana uwezo wa kuzipata ila hawazitaki kabisa, hata mhitaji akifanikiwa kuzipata mganga anazikwepa. Mganga pale anakuwa ni dalali tu anaewaunganisha anaezitaka na majini. Huyo anaezitaka inabidi atoe kitu muhimu kwake kwa majini ili...
  19. K

    Rais Samia aongeza muda mpango wa TASAF, zaidi ya kaya 173,076 zaondokana na umaskini

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya maskini (TASAF) kwa kuuongezea muda mradi huo hadi mwaka 2025 ambapo awali ulikua uishie mwaka 2023. Moja ya manufaa ya mpango huo ni kuendelea...
  20. Tafuta hela, kutafuta taarifa za watu ni umaskini

    Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena. Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…