Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu.
kama inavyosemeka kwa thread.
Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo?
Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four...
By Malisa GJ,
Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa wa Kagera, na kutoka Kenya kwa ajili ya wilaya ya Mkinga, Tanga.
Pili, watanzania tunahoji kwanini...
Nimeikuta habari hii mtandaoni
Kwenye Facebook
Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk
Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi?
Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi
Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly
Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant) ni mtambo au mfumo wa viwanda unaotumia taka ngumu (kama vile plastiki, karatasi, mabaki ya chakula, na taka nyingine zisizoweza kutumika tena) kuzalisha umeme, joto, au nishati nyingine kwa njia ya mwako (incineration), gasification...
Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
Heshima sana wanajamvi,
Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !.
Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia.
Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba...
Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa.
Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni...
Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
TANESCO Morogoro manispaa, huyo mkataji wa zamu leo ni mwanafunzi wa field? Mmemtuma kuangamiza watu wa Bigwa?
Kuweni na nidhamu huu ni UPUMBAVU, eneo la kuanzia Bigwa Stand mpaka Misongeni wiki hizi za hivi karibuni mnalichezea rafu sana.
Acheni upumbavu kama kuna hitilafu kateni rekebisheni...
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi.
Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia.
Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.