Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa.
Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga...
Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa.
Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa uhakika?
Nchi haiendeshwi namna hii. Tunapaswa kuiwajibisha CCM haijawahi kuleta unafuu zaidi ya...
Nisikuchoshe
Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki?
Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati?
Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts 143000. Huu umeme ni mwingi sana. Nini siri ya wenzetu kua na uzalishaji mwingi kiasi hiki?
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeweka wazi kuwa sababu ya mgao wa umeme nchini umesababishwa na upungufu wa maji na gesi.
“Sababu za uzalishaji wa umeme kuwa mdogo ni pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa tegemezi yakiwemo Mtera, Kidatu na Kihansi; uchakavu wa mitambo ya kuzalishia...
Taarifa rasmi toka Tanesco Mkoa wa Ilala.
@TANESCO ata Dar es Salaam inategemea mabwawa ilihali Dar kuna Songas, Kinyerezi 1 &2 na matumizi ya umeme kwa % kubwa yako Dar es Salaam!
Licha mvua kunyesha kiasi cha kuleta maafa huko mikoani ila mpaka leo Tanesco wanatumbia mabwawa yao hayana maji.
Na.Elimu ya Afya Kwa Umma.
Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu.
Hii ni baada ya...
Hivi sasa siyo tena habari, kuona maeneo kadhaa ya nchi, yakiwa yako gizani, kutokana na mgao wa umeme, ambao ni "endless" bila ya TANESCO kutoa taarifa za mapema, kuwa kutakuwa na mgao wa umeme katika maeneo hayo husika!
Nyinyi watu wa TANESCO hebu jaribuni kufikiria, hizo hasara kubwa...
Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote"
Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu.
Huo umeme, maji kwetu hauna umuhimu wowote kazi zetu wala hata hazihitaji kabisa matumizi ya umeme wala maji...
Hi GreatThinkers
Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda.
Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme.
Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
Sisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara.
Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele.
Suluhisho ni kutubu.
huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono.
mnakamua 1500
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.