Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake.
Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako.
Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea.
Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo:
1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya.
2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station.
3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mgao wa umeme unaoondelea nchini hautaathiri utendaji kazi wa treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) kwani treni hiyo itakuwa na njia yake maalumu ambayo haifungamani na njia yoyote kwa ajili ya kusafirishia umeme.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa TRC...
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe.
---
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...
Desemba 24, 2010: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alitangaza kuanza kwa Mgawo Mkali wa Siku 30 nchi nzima na kuahidi utaisha Januari 2011
Machi 2011: Aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TANESCO, Badra Masoud, alisema Mgawo utaisha mwaka 2013
Juni 2014: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.
Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.
Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.
Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
Bei 1,180,000/=
mashine ni mpya
Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme)
🔴Ina uzito 65kg
🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW
🔴ukubwa wake 430*350*920mm
🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu
🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa
🔴bei 1,180,000/=
Kwa...
Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
Mhe. Bashe SUKARI iko wapi wananchi tunateseka.
Mhe. Biteko UMEME uko wapi wananchi tunateseka.
Mhe. Ummy MADAWA yako wapi wananchi tunateseka hata ukiwa na Bima.
Wananchi tunawaamini lakini mnatuangusha. Time will tell.
Umeme ni ajira umeme ni uchumi umeme ni maisha. Kwa sasa mitaji inakatika, tunaomba viongizi wa serikali wapate uchungu na sisi tunaoupata kutokana Ili tatizo la kukatika Kwa umeme.
Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .
Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Sasa hivi ukienda kila mahali na kila kona ya nchi, vilio vya umene vimetawala, mbaya zaidi ukiuliza sababu ya mgao wa umeme ni maajabu ya kushangaza kwani hakuna sababu yoyote ya msingi huku uongo na ahadi zilizojaa uongo mtupu zikitaradadi! Wakati huo kiongozi mkuu wa nchi anabadilisha tu...
Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu.
Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
bunge
juni
kumaliza
lazima
maajabu
machi
mgao
mgao wa umeme
mgawo
miezi
miezi 3
mpaka
mwezi
nishati
serikali
spika
spika tulia
umeme
wakati
wizara ya nishati
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.