Hii ni orodha ya malambo kumi makubwa katika Afrika kwa kuangalia kiasi cha umeme yanachozalisha:
1. The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) – 6,450 MW -Ethiopia
2. Aswan High Dam – 2,100 MW-Misri
3. Cahora Basa Dam – 2,070 MW-Msumbiji
4. Gilgel Gibe III Dam – 1,870 MW-Ethiopia
5. Inga Dams...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira.
Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam kwani Serikali ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere.
PIA SOMA
- Dkt...
Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu.
Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland?
Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea.
Ni nyumba yenye watu 7
TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku,
Fridge haizimwi,
Pasi asubuhi na usiku
Kucharge simu kwa sana
kwa siku ni kama unit 4
Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale.
Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa.
Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la...
Habari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024.
“Miundombinu ya treni ya umeme ni gharama kubwa...
Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa.
ANGALIZO
Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa, amesema umeme utakaotumika kwenye uendeshaji wa Treni ya Umeme ya SGR una KV 220 lakini kuna transfoma itakayokuwa inapunguza umeme mpaka KV 25.
Aidha amesema treni ikifika mikoa ya Kigoma na Mwanza matumizi ya uhitaji...
Dar es Salaam hadi Morogoro, Februari 26, 2024.
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Zimebaki siku 18 mgawo wa umeme iwe historia! Ndivyo unaweza kusema baada ya kauli ya matumaini ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kuwa ifikapo katikati ya Machi 2024 hakutakuwa na kadhia hiyo tena nchini.
Dk Biteko amebainisha hayo leo Februari 25, 2024 alipotembelea...
Wapendwa wadau habarini,
Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.
Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu.
Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.