Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema.
Umeme ulikatika karibia nchi nzima.
Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu
Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima.
Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda.
Hitilafu hiyo katika gridi ya...
Umeme katika line ya KARATU maeneo ya
NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa mara kiasi cha wananchi kuwa na hofu ya kuunguliwa na vifaa vyetu vinavyotumia umeme.
Manager wa...
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi.
Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama.
Kukatika...
Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.
=====
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
DAWASA imewatangazia umma Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya Taifa.
Maeneo yanayoathirika ni Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa Maji Ruvu Juu, Mtambo wa Maji Ruvu Chini, Mtambo wa Maji Wami, Mtambo wa maji...
Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote:
1. Maji kupungua bwana la mtera
2. Kukosekana kwa mvua
3. Hitilafu ya mitambo
4. Mitambo kufanyiwa...
Kampuni ya ZESCO Limited inatarajiwa kuanzisha ratiba mpya ya kukata umeme kwa maeneo ya makazi huko Lusaka licha ya uwepo wa wasiwasi kutoka kwa wadau kuhusu mpango huo wa kukata umeme wa masaa 8 kila siku.
Msemaji wa kampuni hiyo, Matongo Maumbi, anasema mpango wa kukata umeme, ulioanza...
basi
gridi ya taifa
hii
hitilafu
hitilafu ya umeme
jitihada
kukosa
maeneo
makamu
mgao
mgao wa umeme
mkuu
nchi
nchi nzima
taifa
tanesco
umeme
waziri
waziri mkuu
Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..?
1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa.
2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa
3. Namba 3...
Kwa heshima na tadhima naomba JF ujumbe huu uwafie wahusika.
Kipindi umeme wa REA unasambazwa, mwaka 2017 aliyekuwa Waziri wa Nishati Menad Kalema alituahidi wana Ipande kwamba umeme utaenda nyumba hadi nyumba mpaka nyumba ya udongo ili mradi tu amelipia.
Baada ya hapo umeme mpaka leo hii mkoa...
HABARI WANDUGU
NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?
AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza.
Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.
----
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto.
Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.