Habari waungwana, kijana wenu hapa naomba connection ya kazi. Nina uwezo na experience ya kufanya as-built site survey kwenye miradi wa kusambaza umeme vijijini.
Natumia kifaa cha GPS, OPEN CAMERA, COMPUTER kuandaa report ya mradi inayoonyesha
1.Design Network
2.Number of poles, pole size...