Natumai hamjambo wapishi,
Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu.
Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu.
Nikajifunza kutenga muda kwa...