Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.
Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa.
Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm.
Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais.
Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau...
Habari wadau, katika harakati za kuendelea kutafuta kazi kuna baadhi yetu ambao tayari wamekutana na hizi kampuni zinazofanya kazi ya kuwatafutia kazi watu, wao wanakua kama agencies, some of them are fake, some are real.
tushare experience hapa kwa wale ambao wamewahi kufanikiwa kupata kazi...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
Uchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
1. kusahau kuwasha
kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
Tuongelee filamu kidogo..
Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.
Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua.
Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k
Mkasa wangu
Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.
Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi".
Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu.
Basi ikifika mchana nlikuwa...
Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana.
Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako.
Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi.
Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi?
Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.
Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.