umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  2. G

    Umewahi kujiuliza vitu hivi

    SOMO: PARADISO, KUZIMU, JEHANUM/ZIWA LA MOTO, MBINGU MPYA, NCHI MPYA, MIAKA 1000, YERUSALEM MPYA Bwana Yesu Asifiwe karibu tujifunze tena, Tumaini la mkristo yeyote yule ni siku moja aende mbinguni, leo tujifunze vyitu hivyi ambavyo ni mhimu sana kuvijua KWA NINI MWANADAMU ANAKUFA? mwanadamu...
  3. KingOligarchy

    Je, umewahi kutumia calculator ya tsh 370,000 -tsh 600,000?

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania, Nikiwa nimetua Tanzania kutoka urusi, kumalizia mambo yangu ya propaganda za kichumi za hapa na pale! nkakutana na maoligarchy wenzangu flani wa kibongo. sasa mmoja akanitonya kwamba kuna mchongo flani anataka kunipe kitengo mahali nikisimamie sema...
  4. Carleen

    Hivi umewahi kuhisi kuna upendeleo wa baadhi ya watoto kwenye familia yenu?

    Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa, Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi...
  5. J

    Umewahi jiuliza kwanini tunapalilia mazao yakiwa bado ni madogo?

    Habari zenu wapendwa natumai mnaendelea vizuri na mimi pia sijambo Kwasababu kilimo pia ni sayansi basi hata mambo yanayofanywa kwenye kilimo huzingatia sana mambo pia yakisayansi Kupalilia ni sehemu muhimu sana katika kusaidia mazao yako kukua na kama usipo inzingatia hii stage basi na...
  6. mathsjery

    Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

    Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
  7. sky soldier

    Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  8. S

    Umewahi kujiuliza, ikiwa ni CCM wanawatumia Polisi, au ni Polisi wanawatumia CCM?

    Hili suala la Hamza limenifanya nijiulize swali hili, hasa niliposikiliza kauli za viongozi wa Polisi kama IGP Sirro na viongozi wa CCM kama Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makala. Je, inawezekana kwamba tofauti na tunavyofikiria, kwamba CCM wanawatumia Polisi, ukweli ni kwamba ni Polisi wanaowatumia...
  9. MSAGA SUMU

    Je umewahi kuuona mwandiko ya Jakaya Kiwete?, kama bado basi pitia hapa uuone

    Sio kila mtu amewahi kuuona mwandiko wa rais wake, ila kwa sisi wachache ambao kwa wakati fulani tumepata kuwasiliana na rais mstaafu Kikwete kwa njia ya maandishi basi tunaufahamu fika mwadiko wa JK. Hapa chini ni mwandiko wa JK alipomwandikia rais wa Uganda ndugu Yoweri Museveni. Muda sio...
  10. Chizi Maarifa

    Umewahi kukaa hoteli au sehemu na Kivulana cha tabia hii?

    Nipo Restaurant moja maarufu katikati ya Jiji. Mbele yangu kimekaa kivulana (ingawa anaonekana kuwa na umri wa kuitwa Mwanaume) kipumbavu. Toka kimefika kinapiga kelele kwenye simu kuonesha kinatukana wafanyakazi wake, kina ongea deals kubwa kubwa za millions of money na mizigo mingi iliyopo...
  11. sky soldier

    Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  12. sky soldier

    Je umewahi kupatwa na wivu uliokufanya ulie, usononeke au kuwa na stress kisa mapenzi, tiririka?

    Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita. Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
  13. Lyetu

    Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  14. K

    Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  15. Brigadier Isaac

    Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  16. EMMANUEL JASIRI

    Nani umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa?

    Habari wadau wa jamiiforums Habari zenu, Naomba kujuzwa Kama umewahi kutumia unga wa ndizi kitarasa. Napenda kuomba kujua ulikusaidiaje kiafya? Au una uonaje? Tafadhali wadau nisaidieni.
  17. demigod

    Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  18. De Professor

    Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

    Habarini wana jamvi kwanza nafurahi siku ya leo nimerejea tena JF baada ya kutoweka kwa miaka 5 na kupoteza Acc yangu ya mwanzo. Nije kwenye mada husika, katika kipindi hiki nimekua nikiona habari za watu kufanya mapenzi na mara huyu mara yule imekua kawaida tu kiufupi kwasasa sehemu za siri...
  19. Gepard

    Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

    Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute. Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka...
  20. Gucci gang

    Umewahi kuangalia Initial D?

    Wasaalam ndugu wa jf garage. Katika kupita pita mtandaoni nikabahatika kukutana na anime ya initial d ambayo inahusiana na kijana wa kijapan aitwaye takumi fujiwara ambaye anatokea katika familia ya mzazi mmoja yani yeye na baba yake bunta wakijishughulisha na uuzaji wa chakula flan kiitwacho...
Back
Top Bottom