umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  2. R

    Umewahi fanya mapenzi nje?

    Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi. Tuliendelea mpk tukamaliza, lakini baadae ndo ukawa mchezo wetu tunaenda nje kuajiri na se*y. Daaa nikikumbuka...
  3. Huihui2

    Umewahi kutapeliwa na mwanao aliye-disco chuo kisha kupiga picha na 'graduation gown'?

    Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi. Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
  4. Melki Wamatukio

    Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  5. realMamy

    Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

    Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo. Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi. Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
  6. ABILITY_INK

    Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
  7. E

    Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

    Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
  8. King Jody

    Umewahi kuingizwa mjini?

    Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita, Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina kauchochoro, alipita kwa sababu ilikuwa shortcut ya kwenda mjini, Hakufika mbali mara akaona pesa...
  9. Yoda

    Umewahi kupata ajali mbaya ukiwa ndani ya bus?

    Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema? Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
  10. Y

    MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
  11. W

    Umewahi kushuhudia Harusi ikikosa Wageni kutokana na Michango iliyowekwa?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa. Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
  12. Tlaatlaah

    Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  13. realMamy

    Umewahi kuachwa na Basi au Treni? Ulifanya nini kuliwahi

    Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅. Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha...
  14. Eddygotya

    Tukiachana na AliExpress, ipi umewahi kuitumia hapa?

    Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka…. Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi...
  15. SweetyCandy

    Katika mapenzi umewahi kupewa dedication/dedications??

    Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote??? https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo https://youtu.be/CaQKtZQCLBY?si=QNb1_9jMHR7gu-6l Niliwahi pewa hizi dedications nakuambiwa I LOVE U
  16. Basi Nenda

    Umewahi kuuziwa maji ya Bomba dukani?

    Hii tabia kuna mtu ameshakutana nayo? Unaenda dukani kununua maji makubwa unapewa ila ukifika nyumbani wakati wa kufungua unagundua hakuna seal 1. Nikiwa Mgahawa fulani nje ya mji niliagiza maji makubwa ya baridi,nikaletewa ila yana ladha ya ajabu japo yalikuwa na seal ( 2. Nilinunua duka la...
  17. Gai da seboga

    Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
  18. T

    Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

    Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa akila mke wake. Siku ya siku ikafika yule bwana akawafumania baada ya lile fumanizi maisha ya yule...
  19. Tajiri wa kusini

    Umewahi kuingia ghetto na manzi halafu ukashindwa kumla?

    Yule demu Jana nimemmind Sana na yeye anajua aisee! How come demu aingie ghetto halafu ukashindwa kumla? Au alikuwa ananiigizia kwamba nisimuone Malaya? Anyway na nimemblock sasa Kuna manzi Jana nimeingia ghetoni kwangu na demu nilimpanga aje hapa ghetoni kwangu aisee nimetumia almost masaa...
  20. hoof eater

    Umewahi kusikiliza story za vijiwe vya bodaboda?

    Habari za wakati? Pengine kwa umri wako,nafasi au ufinyu wa muda ulionao umekupelekea Kutowahi kukaa ata dakika moja kwenye vijiwe vya bodaboda, basi zifuatazo ndio mada au agenda pendwa kwenye vijiwe hivyo. Tips za kubeti; kama we ni mdau wa betting hususani kwenye upande wa soka, basi jaribu...
Back
Top Bottom