Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana.
Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia...
Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito.
Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine.
Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito?
Zitaje upate undani wake
Baada ya Magufuli kuingia madarakani, aliwapa hadhi idara ambazo ni idara tu na kuongeza matumizi yasiyo ya Lazma. Hili jeshi la zimamoto ni mzigo kwaTaifa na sasa tunaomba mh Samia Suluhu alirudishe kama zamani, fikiria halmashauri ya Moshi ilikuwa na magari matatu ya kuzima moto na ndiyo...
Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote.
Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA.
Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana.
SIFA ZA WATU HAO
1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari.
2.Wakikaribia mazingira ya...
Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia.
Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk
Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi.
Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo.
Hata hivyo, tunapopitia hali kama hiyo inapaswa kuwa wakati wa kutambua ukweli kwamba kuwa na taarifa za kutosha katika...
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
Salamu kwa wote,
Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo,
Twende kwenye hoja ya msingi,
Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama,
Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza?
Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu.
Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi.
Hadi nafungua duka lingine...
Ni watu wanaosumbua sana,
Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli.
Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
Habari ya asubuhi waungwana.
Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo.
Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
Umewahi kuua mtu?
Juzi mwanangu Tracey aliniuliza Hilo swali,nilishtuka na kuogopa Sana. Sikutegemea kabisa Kama mwanangu anaweza kuniuliza swali la namna Hiyo. Kwa dakika kadhaa nilimtazama pasipokusema kitu.
" Hapana sijawahi." Nilijikuta nimeropoka kwa haraka na gafla baada ya kukaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.