umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

    Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
  2. carnage21

    Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  3. I

    Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele. Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote? Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
  4. Mama Mwana

    Je, umewahi kukatishwa tamaa katika kujaribu kwako? soma hii

    Maisha bwana ya matukio mengi sana, kuna watu hao ni maalum ku critisize wengine, mtu unaona ana kitu atafika mbali unamkatisha tamaa ili ugundue nini kama sio roho ya kichawu inakuandama? unayejaribu usikatishwe tamaa na watu. 1. Fanya kile unaona ni sahihi usipendelee kumshirikisha kila mtu...
  5. Lidafo

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  6. R-K-O

    Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  7. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  8. King Jody

    Umewahi kuwa na rafiki wa kweli ambaye huwezi kumsahau kamwe?

    Habari zenu waungwana, Katika ulimwengu wa sasa ni nadra sana kupata rafiki wa kweli ambaye unaweza kumuamini, Nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa na rafiki, huyu alikuwa ni zaidi ya ndugu, tulielewana sana. Tulishirikiana kwa kila jambo, Popote alipo nami nilikuwepo, jamaa alikuwa...
  9. BARD AI

    Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  10. Half american

    Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

    Expectation kills , they kill us once when we wait for the same things we did for people. They kill us twice when we don't really get anything. Maisha yanaenda kasi sana, leo nmekumbuka tukio moja lililowahi kunitokea miaka ya nyuma kidogo. Kuna dada wa kitanga niliwahi kumpenda sana, siku moja...
  11. M

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  12. Esokoni

    Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  13. H

    Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

    Utangulizi: Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
  14. MSAGA SUMU

    Umewahi kujiuliza kwanini Halaand kila mpira anafunga?

    Mabeki wengi wakikutana nae huwa wanasema anachafua hali ya hewa, mabeki wanapoteza umakini jamaa ndio anatupia.
  15. To yeye

    Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

    Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C. NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
  16. LA7

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  17. T

    Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  18. S

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  19. Moronight walker

    Umewahi kukutana na tukio hil: Uchumba kutaka kuvunjika, ilikuwaje na mliokoaje ili usivunjike?

    Ilikuwa mwaka jana mwezi wa 5. Binti mmoja karibu na home alichumbiwa na kijana mmoja aliyekuwa mpenziwe kwa miaka 2 hivi. Baada ya kulipa mahari taratibu za ndoa zikaanza, sasa siku moja walikuwa maeneo ya makumbusho walikuwa wanafanya shopping ya mahitaji yao nafikili ilikuwa kwa ajili ya...
  20. Crala kidoti

    Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
Back
Top Bottom