ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. Zanzibar-ASP

    Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  2. J

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

    Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21 Up dates:
  3. J

    Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  4. beth

    Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  5. M-mbabe

    Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

    Kichwa cha uzi kimejitosheleza. Watanzania tunahitaji kujua kinachoendelea kuhusu hili janga. Source ya taarifa za jambo kama hili yapaswa iwe ni mamlaka husika, ambayo ni wizara inayoshughulikia masuala ya afya (hapa Tanzania wizara hii ina jina refu sana). Upande wa pili wa muungano...
  6. GENTAMYCINE

    Kauli za sasa za Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuhusu CORONA zimeshaanza Kuzua 'taharuki' nchini, hivyo ama adhibitiwe au ajiuzuru upesi

    Tunajua na hakuna Mtanzania hasa mfuatiliaji wa Mambo asiyejua kuwa kiukweli COVID-19 ni hatari na ' inapukutisha ' Watu kweli kweli kuanzia Mataifa ya Kitajiri (Ulaya na Marekani) na hata katika baadhi ya nchi zetu za Afrika na kwa Majirani zetu wakubwa Kijiografia Kenya, Uganda na Rwanda...
  7. Return Of Undertaker

    CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

    Wizara ya Afya nchini Tanzania imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mpya wa COVIDー19 jijini Dar es Salaam ambaye ni mwanaume (51), raia wa Tanzania. Wizara inaendelea kuwafuatilia watu wote waliowahi kukutana na mgonjwa huyo. Ongezeko hilo linafanya visa vilivyoripotiwa kufika 25.
  8. Mwanamayu

    Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

    Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
  9. T

    Kiatu cha Wazuri Ummy Mwalimu

    Kusema kweli Ummy Mwalimu Nakupongeza kwa kazi unayofanya unachakalika mpaka kiatu kinachakaa Hili kiatu sio cha mtu kama wewe wazuri kiatu kimechakaa na vumbi juu sasa kama na wewe umechakaa je watembeza bahasha itakuwaje Samahani kwa hii thread
Back
Top Bottom